Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

Mamlaka husika ya kumtafuta Saanane na watekaji wake ni jeshi la polisi. Kazi hiyo walishaianza tangia taarifa ya kupotea kwake ifikishwe polisi takribani wiki 3 zilizopita. Chadema ni washukiwa wa sakata hilo. Sasa chadema wanapotoa amri ya kwamba mtekwaji awe amepatikana ndani ya masaa 72, si inadhihirisha kwamba wanafahamu aliko au walikomficha?
Naamini kuwa Chadema wako sawa kwa sababu iwapo wao ndio washukiwa kwa mujbu wa hoja yako, basi watakuwa wanashangaa kwanini hawahojiwi na mamlaka husika. Hivyo nakuomba uishauri mamlaka inayohusika kumtafuta Ben iwahoji Chadema.
 
Nani alikuwa naye mara ya mwisho? Why 22 days?
Suala la miili saba mnaliingiza kivipi?
Hapa kuna sanaa inaendelea.
 
NEVER EVER TRUST CHADEMA.......[HASHTAG]#CHADEMA[/HASHTAG] BRING BACK YOUR SAA NANE ......[HASHTAG]#HATUTAKI[/HASHTAG] UJINGA SISI ....TUMEWAGUNDUA MNATAFUTA KIKI
 
Tangu lini haonekani? Mbona mmechelewa sana kuhoji kutokuokana kwake? Inaonekana mnajua aliko ila mnatafuta kick
 
CDM mmesha kosa ya maana ya kufanya!

Mnajiteka wenyewe na kuanza kupima upepo, wananchi
Hili tukio watali chuliaje yaani mnafanya mambo ya kitoto sana ili mradi tu rais aonekane anabana uhuru wa kuogea!

Wananchi sasa tumesha wachoka

Mnacho kifanya ni upupu


Kweli kabisa jamaa kapotea wiki kadha wamekaa kimya gafla wanajitokeza wanaanza kutupa lawama pengine cdm ni movie tupu .
 
NEVER EVER TRUST CHADEMA.......[HASHTAG]#CHADEMA[/HASHTAG] BRING BACK YOUR SAA NANE ......[HASHTAG]#HATUTAKI[/HASHTAG] UJINGA SISI ....TUMEWAGUNDUA MNATAFUTA KIKI
Rais Magufuli amesikika majuzi akilalamika kuwa jeshi la polisi linatumika vibaya. Wanaolitumia Jeshi letu vibaya ni ninyi ambao mnalifanya lione kuwa hili ni suala la mzaha wakati jambo hili linahusu uhai wa mtu.
 
Wamemuuliza mbowe, kiongozi wao kwa nini hashituki. Maana hajasema lolote na anakataa mitaa tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom