Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
wahuni.kajiteka!Leo tumepata wasaa ya kufanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu mambo mawili.
#1. Tumeuliza mamlaka husika Ben Saanane yuko wapi? Tunamtaka akiwa hai.
#2. Tumelaani vitendo visivyo vya haki dhidi ya binadamu. Hasa 'saga' ya miili 7 iliyo okotwa mto ruvu.
#3. Tumetoa Saa 72 tuwe tumepata majibu.
Hayo ni machache, baadaye nitatoa nini kifanyike kuanzia kesho katika mitandao ya kijamii... Kuhakikisha Ben anapatika!!
Tamko limetolewa na
Mwenyekiti : Malisa GJ
Naibu K/Mkuu : Noel C Shao
Pia alikuwepo mwanasheria wa kamati : Bob Chacha Wangwe
View attachment 445044 View attachment 445044 View attachment 445047
View attachment 445025