Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,683
- 93,423
Familia yake inapata machungu sana
Mamlaka husika ni ipi..??? Manake wanaohusika na Ben ni chama chake..!!
Si Mbowe, si Lowasa walioshtushwa na kupotea kwa Ben Saanane. Wanajua nini kinandelea
Amen Ra...Kama ilivyokuwa kwa Habili aliyeuawa kwa siri na kuzikwa kwa siri na Kaini akadhani amemaliza, lakini damu ya Habili haikunyamaza...ilipiga kelele na Mungu alisikia...na muuaji akapata hukumu aliyostahili.
Kama Mungu wangu aishivyo, damu ya hao marehemu haitanyamaza. Ni suala la muda tu...yaliyodhaniwa kuwa siri yatakapodhihiri.
33 years only!Suala la Ben Saanane kamuulize Mbowe. Au Kubenea. Hawa watu wawili hawa wanajua alipo!
Kama ilivyokuwa kwa Habili aliyeuawa kwa siri na kuzikwa kwa siri na Kaini akadhani amemaliza, lakini damu ya Habili haikunyamaza...ilipiga kelele na Mungu alisikia...na muuaji akapata hukumu aliyostahili.
Kama Mungu wangu aishivyo, damu ya hao marehemu haitanyamaza. Ni suala la muda tu...yaliyodhaniwa kuwa siri yatakapodhihiri.
kama hujui hata ukiambiwa huwezi kujuaHivi kuhoji ndio ku think? Nisaidieni mnaojua
Tusidanganyane hapo. Tumieni tafsiri sahihikama hujui hata ukiambiwa huwezi kujua
Ni taarifa tuu hazina uthibitisho ingekuwa ni kweli familia yake wangepewa taarifa