Akili zako ni finyu sanaHuyo kijana wanemficha wenyewe wanaleta changa la macho hapa.....[HASHTAG]#Hatutaki[/HASHTAG] ujinga sisi
Hizi ngojera za chama lenu la matamko tumechoka nalo hatutaki ujinga kabisa utasikia mda simrefu heche au sugu naye atajificha halafu watoe tamko.Haya Ben amefichwa na Chadema, na hao saba waliookotwa Mto Ruvu wakiwa marehemu wametupwa na nani huko?Tafadhali tuwe na soni kidogo tunapozungumzia uhai wa mtu!
Nyie ccm hizo pesa za ruzuku mmefanyia kitu gani?Mbowe anajua alipo!!! Na nyie chadema pesa za ruzuku zimewapumbaza hamuwazi maendeleo kila sikuuu ujinga ujinga tu, tumechoka
Hawawezi kuepuka rungu la mwenyezi munguCcm hao wamepoteza dira, sasa wanatumia vitisho, mateso na kadhalika
Acheni kumtaja Mungu kwenye ujinga kama huu wa kumficha mtu nyie wenyewe na kuja kupigakelele hapa.Dhambi kubwa sana hiyoHawawezi kuepuka rungu la mwenyezi mungu
Pole haha haha kama nakuona vile ulivyomficha saa naneWewe zako zimefungiwa kwenye chumba no 8 hapo bibi titi
Ccm mnaijua dhambi nyinyi?Acheni kumtaja Mungu kwenye ujinga kama huu wa kumficha mtu nyie wenyewe na kuja kupigakelele hapa.Dhambi kubwa sana hiyo
Wewe ndio unaijua dhambi alafu unaitenda makusudi.Itakula kwakoCcm mnaijua dhambi nyinyi?
Sengerema umetoka lini?Pole haha haha kama nakuona vile ulivyomficha saa nane
Thats why they pre decided to be "no say"!Huyo Ben pia ni mwanausalama wa CDM, hivyo kuna taarifa kuwa Amepelekwa kusoma zaidi kati ya Israel au Afrika kusini, hizi ni taarifa ambazo si rasmi.
Ila kama si kweli, basi tumuombe Mungu aepushie mbali mambo mengine.
ulivyotoka weweSengerema umetoka lini?
Mchango gani?Thats why they pre decided to be "no say"!
Halafu we Francis12 tangu lini mashushushu wanaaga familia zao?!
BTW mchango wa Ben kwenye harakati za kimageuzi ni remarkable, hautakufa utadumu milele na milele hata kama wamemfanyia lolote baya.
Chadema mnafanya mambo ya kijinga sana!Natamani upotee wewe.au mwanao ndo ujue uchungu ilivyo....acha utani kwenye uhai, ubinadamu kwanza