"Tamko la Pinda"

Watu wanaoweza kufanya kosa na kukiri ni wachache sana hasa wanasiasa.
Pinda kaenda mbali kwa kuwa tayari kuachia ngazi kama wabunge watakuwa hawana imani nae.
Pinda ni muungwana,kumfananisha na lowassa fisadi ni dhambi kubwa. Lowassa ambaye hata baada ya tume kumtuhumu bado anaona alionewa.
 
Yawn!
Kwenye red hapo, unajaza bandwidth tuu.

Yupi anajaza bandwith, mimi na ile paragraph ya sentensi nne, au wewe unaeweka kiwingu cha mipicha ya ma bodyguard ka vile tuna hang out kwenye yard at some junior high? Bado una nostalgia za kuchezea "bastola" za mbao na kupigana "telo" za Jemsi Bondi kwenye backyard za migomba? No wonder unaona poa mtu mzima Pinda kujilizaliza Bungeni. After all "... hata Bush nae analia"!

Unamtetea huyo Pinda namby-pamby unaesema kawauliza wabunge kama anastahili kuendea na wadhifa wake? Yeye mwenyewe hana hakika kama anastahili. Sasa si aanze basi, akaishi na Lowassa, badala ya kuendela kulia lia hadharani,Waziri Mkuu mzima. Ukimwona utadhani kagangamala kweli kweli kumbe akibanwa kidogo ana choke up. Hebu wamtoe huyu erratic loose canon. He simply does not possess emotional dependability and right judgment befitting the office of Prime Minister.
 
Ushirombo
hili tatizo la wabongo ni kubwa sana? How many PMs should resign for you to know its not worth it?? Kujiuzulu maana yake nini haswa? Acheni ushabiki wa kimichezo!! Kama PM kaongea bungeni tayari what else do you want him to explain?
Nadhani hapa tunajipotosha tu... watanzania tunapenda kujadili mambo ambayo suluhu yake ishapatikana kuliko yale yanayohitaji tuyatatue... Lets please discuss some other things lakini sio hili!!

Kama ni kujiuzulu how will it help the Albinos??

Hii inahusu uhai wa binadamu wenzetu sio FA Premiership wala UEFA cup! Lets talk sense and think wise!!

I admit hata mi ningekuwa katika position yake i would have just said the same on the people who kill albinos! Things that are happening out there are not any better, they are evil..very evil and inhuman!!

Mungu Ibariki Tanzania... Mungu Ibariki Afrika!

Ndugu hapa watu wanazungumzia sheria,hivyo inatakiwa akili yako iweze kupambanua juu ya alichokitamka Mheshimiwa Pinda ,kwani hata huko Bungeni aliambiwa ni sawa lakini si sehemu yake ,na ndio maana ameomba msamaha,ile kuomba msamaha peke yake inatakiwa mimi na wewe tusio waelewa wa sheria tujue kwamba jamaa amevunja sheria,na ndipo hapo utawala wa sheria unapojengeka na kukubalika kwenye jamii na ndio hapo wengine wanapoanza kuchukuliwa sheria,kwa maana zinatakiwa zifuatwe na sio kuburugwa.

Mheshimiwa amekiri ,hivyo baada ya kukiri ni lazima taratibu zifuatwe ili aonekane kama amefanya kosa na iwe somo kwa wengine pia,kujiuzulu hilo lisikupe shida sana,kwani ni lazima litumike neno hilo ili kumuweka sawa muheshimiwa asione hii nchi ni yake na yeye anaweza kusema atakavyo ,hapo ndio litakuwa fundisho kwa wenye kutumia kauli zinazoashiria vitendo viovu,na wengine nao wataelewa kuwa sasa mambo yamebadilika,kiongozi wa Serikali ajue anazungumza kama kiongozi wa Serikali na sio raia wa kawaida au kiongozi wa Chama chake,Pinda ameenda mbali baada ya kuamuru vijana wa CCM japo amejitetea,lakini kanda sivyo ilivyo.

Viongozi wanatakiwa wawe wanaongozwa na sheria na wawe wenye kuzifuata kimaadili na sio jazba kwani mwisho wa jazba ni kuliweka Taifa kwenye mgawanyiko.Na kama unavyoona kuwa sasa tumegawanyika kuhusu kauli ya Pinda.

Kwa upande wangu naona kitendo kilichofanyika kwa Mizengo Pinda kinastahili sifa kwa wabunge wetu,kwani ile peleka peleka ya mapolisi kwenda kupiga raia nayo itaweza kukoma kwa viongozi wa mikoa au vyama kuamrisha polisi wafanye watakavyo katika kupambana na waandamanaji.

Ni kauli za namna hii ndizo zinazowapa polisi kufanya kiburi,maana watakwambia sisi tumetumwa na ndio tupo kazini nani anaewatuma ni viongozi wenye kauli kama za Pinda...Mkiwaona wapigeni na hata risasi wapigeni ndio hayo yaliyotokea Pemba na hata Tanganyika siku hizi yameanza kuonekana kwa polisi kutumia nguvu za ziada kwa kuwa tayari wameshapewa maelekezo.
 
Yupi anajaza bandwith, mimi na ile paragraph ya sentensi nne, au wewe unaeweka kiwingu cha mipicha ya ma bodyguard ka vile tuna hang out kwenye yard at some junior high? Bado una nostalgia za kuchezea "bastola" za mbao na kupigana "telo" za Jemsi Bondi kwenye backyard za migomba? No wonder unaona poa mtu mzima Pinda kujilizaliza Bungeni. After all "... hata Bush nae analia"!

Unamtetea huyo Pinda namby-pamby unaesema kawauliza wabunge kama anastahili kuendea na wadhifa wake? Yeye mwenyewe hana hakika kama anastahili. Sasa si aanze basi, akaishi na Lowassa, badala ya kuendela kulia lia hadharani,Waziri Mkuu mzima. Ukimwona utadhani kagangamala kweli kweli kumbe akibanwa kidogo ana choke up. Hebu wamtoe huyu erratic loose canon. He simply does not possess emotional dependability and right judgment befitting the office of Prime Minister.

PRICELESS!
FYI zile picha ziko saved somewhere else naleta links tu hapa.
Huwezi jua labda bado niko junior high.
 
He is a gentleman..anafaa kuwa PM
Ni zaidi ya gentleman.Ni mtu anayeonesha KIWANGO KIKUBWA CHA UNYENYEKEVU,moja ya sifa muhimu hasa inayotakiwa unapoamua kutumikia umma.

Na kwa siasa zetu za kuviziana, kama atafanya hilo atakuwa amewafunga goli la kisigino wapinzani wake.

FANYA HILO MH. PINDA, UJITOFAUTISHE NA "KUSET" MFANO KWA WOTE WANATUMIKIA UMMA.
 
Hivi kweli mnaitarajia kauli hiyo kutoka kwa Mh Pinda. Nadhani maelezo yake jana yalijitosheleza isipokuwa kwa sisi wengine ambao tuna agenda nyingine iliyojificha ambayo nia hasa kumfanya JK ateue WM kila mwaka.
 
"TAMKO LA PINDA KESHO,LEO."....Kama ktk hii habari/tamko hatukulishwa kasa....Sijui tamko hili lilitokea wapi??
 
Mimi nadhani tunaendeleza mambo ambayo hayana msingi tena. Mhe. Pinda amesema chanzo cha kauli yake na ametubu (maana kuomba msamaha ni kitu kidogo zaidi ya kutubu). Ameomba Mwenyezi Mungu amsamehe. Mimi sioni sababu ya yeye kujiuzulu wala sisi kuendelea kumtaka afanye hivyo. Maana hata akifanya hivyo sioni manufaa yoyote kwa Taifa, wala ukomo wa mauaji ya kikatili ya waTanzania wenzetu na ndugu zetu wapendwa (Albino).

Ndugu zangu, tuache kuendekeza mambo yasiyo na manufaa kwa Taifa na zaidi kwa ustaarabu wetu. Nadhani changamoto iliyo mbele yetu ni kupambana na uharamia, uvunjaji wa sheria, uonevu na ukatili uliovuka mipaka dhidi ya ndugu zetu hao. Tujipange kusaidiana kutetea haki na maisha ya amani na ustawi wa Taifa letu.
 
Waziri Mkuu anashindwa kuelewa kwa nini MEP wanalijadili hili swala. Wanalijadili kwa sababu Vicky Mtetema alikwenda kule kutoa taarifa. EU wanapolijadili ina maana kwamba wanataka kutoa msaada kuhusu hili swala. Wanaweza hata kuleta unwanted help of Elite Troops kuwalinda albino.
Ingekuwa ni wasichana wa sekondari Dar wanauawa,au nurse wa Muhimbili wanauawa,Police wangekuwa more efficient. Lakini kwa vile vizee vikongwe na albino wanauawa,Polisi hawajali sana.
 
Wakuu, naangalia Bunge likiendelea hapa na Pinda hajatoa hiyo kauli na sidhani kuwa anaweza kuitoa leo. Hivyo, kama alivyotahadharisha Mwanakijiji, kauli hii bado haijawa rasmi na kwa hiyo mjadala should be along those lines, tusifanye kana kwamba haya maneno yameshazungumzwa na PM
 
Hata raisi Bush alitoa kauli nyingi tuu zilizo tata na hakujiuzuru! Na sasa ndio mjiandae na Joe Biden....sasa sijui na yeye atatakwa ajiuzuru kwa sababu ya gaffes....

Sikumbuki mahali Bush alipowahi kulia hadharani na kukili kutoa tamko lenye utata.....kama Mh Pinda kwenye ulinganifu wako....
 
Mkuu, hapo kula tano! Eti machozi ni sincerity! mmesahau machozi ya Clinton? Kwikwikwi!
Eti hisia zake zilimzidi! Mistake! Big mistake! Alafu kibaya zaidi alirudiarudia makosa sasa kabanwa anajifanya analia! Ah! mi nasema huyu jamaa kachemka big time! Amefanya instigation ya wananchi kuuana and his flimsy excuse ni kulia!

Mkuu huyu sio kiongozi .Anacheza na hisia za watu kwa kujifanya kulia ka demu huku akijua amevunja katiba. Wale wazee kule bungeni wanapata nao hisia mbovu eti kiongozi wa juu analia tumsamehe Loh. Kwanza kulia ni weakness na tafsiri yake ni pamoja na kuomba huruma kwa kutumia machozi , au ni cowardness ilifikia upeo wa juu sana . Kutuambia tuvunje katiba au tuishi bila sheria ni otuvu wa nidhamu kwa taifa. Siataki wenzetu Maalbino wauwawe lakini sitaki watakao kamatwa wauwawe na raia au polisi hasa ikiwa ndio executive order ya Pinda. Aifute hiyo order au akwiti.
 
....mimi nashauri hiii thread ni bora ifungwe tu kwa sasa. kama tamko atalitoa rasmi then mods waifungue.
 
Nimesoma pia habari hizi kwenye gazeti la Mwanachi 'http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=9622' inahuzunisha sana, Pinda Amani ya Bwana iwe nawe... \Naaamini umesamehewa Mbinguni na Duniani.
 
PRICELESS!
FYI zile picha ziko saved somewhere else naleta links tu hapa.
Huwezi jua labda bado niko junior high.

Heheheheheee...huyu ~ Kuhani ana drama sana...lol

Sasa mada ya ulinzi wa viongozi inahusiana vipi na Pinda....ihihihihihihiiii
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ya binadamu na mnyama pori ni kwamba binadamu ha-exercise every right they have. Mnyama akitaka kujisikia huru kuzurura nje ya pori anazurura mpaka anaingia mjini anauawa. Akitaka kula watoto wake anakula mpaka anaishiwa kizazi. Akijisikia kupandana anapanda mpaka na ndugu zake.


Sasa nimefahamu. Ukiona mtu hana watoto/mtoto, basi wewe ujuwe kuwa kuna uwezekano kuwa alikuwa na watoto ila kwa tamaa/ujinga wake, akaamuwa KUWALA. Kila anavyowala, basi KIZAZI tumboni kinapungua. Akija wamaliza na kizazi tumboni CHEUPEE!!! Hii kweli imekaa safi sana.
Halafu akitaka ingilia nduguze huwa hata hajali yuko wapi. Uzuri wao wenzetu ni kuwa huwa hamna ya "Unavura na viratu......."
 
Back
Top Bottom