Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
hivi mtu akikiri kosa lazima ajiuzuru?Jamani nadhani tujifunze utamaduni wa kujiuzuru, kama kakili kosa basi awe tayari kuachia ngazi, kuna watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watakaoweza ilinda katiba yetu. Asamehewe kwa sababu kakubari makosa si sababu ya kuachiwa, huyu Mh Pinda ameisha toa kauli tata nyingi mno tokea aingia madarakani....hapa sasa he shouls swallow the bitter pills....