Tamko la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Limeambatishwa hapo katika PDF File
 
Attachments

  • TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI- MWENENDO MCHAKATO WA KATIBA 7-8-2014.pdf
    243.3 KB · Views: 1,063
Point noted. Lakini Kituo Kinataka nini? Kuthabarisha kutoridhikakwake? Mbona hakuna hatua? Mahakama haina jukumu hapa?
Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.
 
sisiem wanapambana kisawasawa bila kujali wananchi ilimradi inufauike kimaslahi.
  1. Walianza na kukataa kuwa katiba haitakiwi, mwenzao akasema inatakiwa
  2. Wakatunga sheria mbovu ya mabadiliko ya katiba - ikaboreshwa kwa mbinde na haikufika kiwango kilichotakiwa
  3. Wakafanya hila kupata mabaraza ya katiba ya wilaya - haikuwasaidia sana.
  4. Wakamshambulia mweyekiti wao J.K akabadilisha msimamo wake wa muundo wa serikali3.
  5. Wakapindisha kanuni za BMK - raisi akashiriki kuchangia hoja bungeni badala ya kuzindua bunge.
  6. Wakashambulia ukawa hadi wakatoka bungeni.
  7. Wakashambulia rasimu ya katiba.
  8. Wakatunga kanuni za kuwanufaisha pasipo ukawa kuwepo
  9. wakamshambulia aliyekuwa m/kiti wa Tume ya Kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi
  10. wakashambulia tume yenyewe
  11. wanashambulia midahalo ya wananchi kuhusu katiba.
  12. wanashambulia vyombo vya habari kuendesha midahalo.
  13. Wakimaliza wananchi tujiandae kushambuliwa katika kura za maoni.
  14. Tume ya uchaguzi itakayo simamia kura za maoni ijiandae kushambuliwa.
Sisiemu ni balaa!
 
Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.

Hiki kimama kinatumika kama kipaza sauti tu jamani
 
Haki za binadamu hawa tofauti na ukawa maana hao haki za binadamu ndiyo huwa wanatakaga hata watu wajinsia moja waoane tuu wakishabikia chadema na cuf ni sawa.kabisa waliberali wenzao
 
Haki za binadamu hawa tofauti na ukawa maana hao haki za binadamu ndiyo huwa wanatakaga hata watu wajinsia moja waoane tuu wakishabikia chadema na cuf ni sawa.kabisa waliberali wenzao

Yaan Nina mashaka na hawa watu Wa hichi kituo wamekaa kiuchonganishi uchonganishi tu,nahisi watakuwa wanatumika
 
Limeambatishwa hapo katika PDF File

Hili ni tamko la kituo au la watu wa kilimanjaro maana naona bodi ya kituo chini kabisa kwenye hilo tamko imesheheni BOARD MEMBERS ya watu wa kilimanjaro anakotoka mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Tuanomba kama Legal and Human Rights Centre (LHRC) mnao uchungu halisia kama tujuavyo, na jinsi walivyoonyesha wajumbe wenyewe wa Tume ya Warioba, tunaomba pamoja na timu ya JUKATA mpeleke 'zuio' mahakamani kuhakikisha kama yafaa Mahakama ilazimishe yafuatayo ili kufanya Bunge la Katiba lizingatie maslahi mapana ya utaifa na sio vikundi:
  • Kuamuru Bunge la Katiba Kusitishwa kwa muda ili kuruhusu Wajumbe wote wa Katiba kama walivyoaninishwa ktk sheria kuwepo ndani ya Bunge hilo ili kulinda usawa na haki ya kila mwakilishi.
  • Kuzuia utekelezaji wa sheria iliyoaifuta tume ya Kutunga Katiba ili iendelee kuelimisha Bunge maana na maudhui ya Rasimu ya pili ili taifa lipate ufahamu unaostahili.
  • Kuamuru Serikali kuufungua Mtandao wa Tume ya Katiba uliofungwa ili kuwapa wananachi wote uhuru na uwezo wa kupata ufahamu wa mengi yaliyozuiwa wasiyajiue baada ya tovuti hiyo kufungwa.
  • Kutoa kinga kwa Vyombo vya Habari vinavyolenga kuendesha mijadala ya Wazi katika kuelimisha wananchi kuhusu maudhui ya ufahamu wa Rasimu ya 2 ya Katiba ili waweze kujiandaa kwa ufahamu ufaao kuelekea upigaji wa Kura kama hatua hiyo itafikiwa.
  • Kutoa tafsiri Kamili ya misingi ya Rasimu kulingana na sheria ya Katiba, na kuhakikisha misingi yake mikuu ya Rasimu ya 2 (ambayo yanatokana na maoni ya Umma) haiguswi au kumomonyolewa au kuvurugwa kwa hila na makundi ya wachache wanaoongozwa na Spika.
  • Kutoa kinga kwa waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba waendelee kuelimisha wananchi ktk makongamano ya wazi na kuwaongezea ufahamu zaidi maana Rasimu hiyo ndio msingi wa Katiba yao waliyoiomba kwa miaka zaidi ya 30.
 
tuanomba kama legal and human rights centre (lhrc) mnao uchungu halisia kama tujuavyo, na jinsi walivyoonyesha wajumbe wenyewe wa tume ya warioba, tunaomba pamoja na timu ya jukata mpeleke 'zuio' mahakamani kuhakikisha kama yafaa mahakama ilazimishe yafuatayo ili kufanya bunge la katiba lizingatie maslahi mapana ya utaifa na sio vikundi:
  • kuamuru bunge la katiba kusitishwa kwa muda ili kuruhusu wajumbe wote wa katiba kama walivyoaninishwa ktk sheria kuwepo ndani ya bunge hilo ili kulinda usawa na haki ya kila mwakilishi.
  • kuzuia utekelezaji wa sheria iliyoaifuta tume ya kutunga katiba ili iendelee kuelimisha bunge maana na maudhui ya rasimu ya pili ili taifa lipate ufahamu unaostahili.
  • kuamuru serikali kuufungua mtandao wa tume ya katiba uliofungwa ili kuwapa wananachi wote uhuru na uwezo wa kupata ufahamu wa mengi yaliyozuiwa wasiyajiue baada ya tovuti hiyo kufungwa.
  • kutoa kinga kwa vyombo vya habari vinavyolenga kuendesha mijadala ya wazi katika kuelimisha wananchi kuhusu maudhui ya ufahamu wa rasimu ya 2 ya katiba ili waweze kujiandaa kwa ufahamu ufaao kuelekea upigaji wa kura kama hatua hiyo itafikiwa.
  • kutoa tafsiri kamili ya misingi ya rasimu kulingana na sheria ya katiba, na kuhakikisha misingi yake mikuu ya rasimu ya 2 (ambayo yanatokana na maoni ya umma) haiguswi au kumomonyolewa au kuvurugwa kwa hila na makundi ya wachache wanaoongozwa na spika.
  • kutoa kinga kwa waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba waendelee kuelimisha wananchi ktk makongamano ya wazi na kuwaongezea ufahamu zaidi maana rasimu hiyo ndio msingi wa katiba yao waliyoiomba kwa miaka zaidi ya 30.

well said bro!

njia pekee ni kupeleka hoja mahakamani na mahakama itekeleze wajibu wake wa kusimamia haki

Tuanomba kama Legal and Human Rights Centre (LHRC) mnao uchungu halisia kama tujuavyo, na jinsi walivyoonyesha wajumbe wenyewe wa Tume ya Warioba, tunaomba pamoja na timu ya JUKATA mpeleke 'zuio' mahakamani kuhakikisha kama yafaa Mahakama ilazimishe yafuatayo ili kufanya Bunge la Katiba lizingatie maslahi mapana ya utaifa na sio vikundi:
  • Kuamuru Bunge la Katiba Kusitishwa kwa muda ili kuruhusu Wajumbe wote wa Katiba kama walivyoaninishwa ktk sheria kuwepo ndani ya Bunge hilo ili kulinda usawa na haki ya kila mwakilishi.
  • Kuzuia utekelezaji wa sheria iliyoaifuta tume ya Kutunga Katiba ili iendelee kuelimisha Bunge maana na maudhui ya Rasimu ya pili ili taifa lipate ufahamu unaostahili.
  • Kuamuru Serikali kuufungua Mtandao wa Tume ya Katiba uliofungwa ili kuwapa wananachi wote uhuru na uwezo wa kupata ufahamu wa mengi yaliyozuiwa wasiyajiue baada ya tovuti hiyo kufungwa.
  • Kutoa kinga kwa Vyombo vya Habari vinavyolenga kuendesha mijadala ya Wazi katika kuelimisha wananchi kuhusu maudhui ya ufahamu wa Rasimu ya 2 ya Katiba ili waweze kujiandaa kwa ufahamu ufaao kuelekea upigaji wa Kura kama hatua hiyo itafikiwa.
  • Kutoa tafsiri Kamili ya misingi ya Rasimu kulingana na sheria ya Katiba, na kuhakikisha misingi yake mikuu ya Rasimu ya 2 (ambayo yanatokana na maoni ya Umma) haiguswi au kumomonyolewa au kuvurugwa kwa hila na makundi ya wachache wanaoongozwa na Spika.
  • Kutoa kinga kwa waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba waendelee kuelimisha wananchi ktk makongamano ya wazi na kuwaongezea ufahamu zaidi maana Rasimu hiyo ndio msingi wa Katiba yao waliyoiomba kwa miaka zaidi ya 30.
Mbona madai na hoja zenyewe za kipumbavu kiasi hiki ni mahakama gani ambayo inaweza kusikiliza uzezeta kama huu.
 
Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.
Na kwa namna hiyo hiyo kama ilivyo Mahakama haiwezi kuingilia kauli mle bungeni, naamini hivyo maagizo ya Sita kwa Serikali (kwamba serikali alimtaja Waziri yule wa Habari) hayapaswi kutekelezwa na Serikali- kwa maana tu ilikuwa ni kauli na sio maamuzi ya Bunge!
 
Mbona madai na hoja zenyewe za kipumbavu kiasi hiki ni mahakama gani ambayo inaweza kusikiliza uzezeta kama huu.

Mkuu kuna watu wana matatizo.Mahakama wanadhani ni mazezeta yuko moja alihemka akaenda anataka wakili rafiki yangu apeleke kesi ya katiba mahakamani akamwambia usiniulie fani yangu ya uwakili kwa upambavu huu.Akanuna mno alipoenda kwa wakili mwingine akamtolea nje kwa kumwambia kuwa hamna kesi hapa ni kunipoteza muda wa kesi za maana akanyewea akatulia.Watu wanadhani makesi unafungua tu unapeleka mzobe mzobe.Hayo madai aliyoandika mtoa maana ni upuuzi mahakama yakipekwa yanatupiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom