Point noted. Lakini Kituo Kinataka nini? Kuthabarisha kutoridhikakwake? Mbona hakuna hatua? Mahakama haina jukumu hapa?Limeambatishwa hapo katika PDF File
Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.Point noted. Lakini Kituo Kinataka nini? Kuthabarisha kutoridhikakwake? Mbona hakuna hatua? Mahakama haina jukumu hapa?
Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.
Haki za binadamu hawa tofauti na ukawa maana hao haki za binadamu ndiyo huwa wanatakaga hata watu wajinsia moja waoane tuu wakishabikia chadema na cuf ni sawa.kabisa waliberali wenzao
Limeambatishwa hapo katika PDF File
tuanomba kama legal and human rights centre (lhrc) mnao uchungu halisia kama tujuavyo, na jinsi walivyoonyesha wajumbe wenyewe wa tume ya warioba, tunaomba pamoja na timu ya jukata mpeleke 'zuio' mahakamani kuhakikisha kama yafaa mahakama ilazimishe yafuatayo ili kufanya bunge la katiba lizingatie maslahi mapana ya utaifa na sio vikundi:
- kuamuru bunge la katiba kusitishwa kwa muda ili kuruhusu wajumbe wote wa katiba kama walivyoaninishwa ktk sheria kuwepo ndani ya bunge hilo ili kulinda usawa na haki ya kila mwakilishi.
- kuzuia utekelezaji wa sheria iliyoaifuta tume ya kutunga katiba ili iendelee kuelimisha bunge maana na maudhui ya rasimu ya pili ili taifa lipate ufahamu unaostahili.
- kuamuru serikali kuufungua mtandao wa tume ya katiba uliofungwa ili kuwapa wananachi wote uhuru na uwezo wa kupata ufahamu wa mengi yaliyozuiwa wasiyajiue baada ya tovuti hiyo kufungwa.
- kutoa kinga kwa vyombo vya habari vinavyolenga kuendesha mijadala ya wazi katika kuelimisha wananchi kuhusu maudhui ya ufahamu wa rasimu ya 2 ya katiba ili waweze kujiandaa kwa ufahamu ufaao kuelekea upigaji wa kura kama hatua hiyo itafikiwa.
- kutoa tafsiri kamili ya misingi ya rasimu kulingana na sheria ya katiba, na kuhakikisha misingi yake mikuu ya rasimu ya 2 (ambayo yanatokana na maoni ya umma) haiguswi au kumomonyolewa au kuvurugwa kwa hila na makundi ya wachache wanaoongozwa na spika.
- kutoa kinga kwa waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba waendelee kuelimisha wananchi ktk makongamano ya wazi na kuwaongezea ufahamu zaidi maana rasimu hiyo ndio msingi wa katiba yao waliyoiomba kwa miaka zaidi ya 30.
Mbona madai na hoja zenyewe za kipumbavu kiasi hiki ni mahakama gani ambayo inaweza kusikiliza uzezeta kama huu.Tuanomba kama Legal and Human Rights Centre (LHRC) mnao uchungu halisia kama tujuavyo, na jinsi walivyoonyesha wajumbe wenyewe wa Tume ya Warioba, tunaomba pamoja na timu ya JUKATA mpeleke 'zuio' mahakamani kuhakikisha kama yafaa Mahakama ilazimishe yafuatayo ili kufanya Bunge la Katiba lizingatie maslahi mapana ya utaifa na sio vikundi:
- Kuamuru Bunge la Katiba Kusitishwa kwa muda ili kuruhusu Wajumbe wote wa Katiba kama walivyoaninishwa ktk sheria kuwepo ndani ya Bunge hilo ili kulinda usawa na haki ya kila mwakilishi.
- Kuzuia utekelezaji wa sheria iliyoaifuta tume ya Kutunga Katiba ili iendelee kuelimisha Bunge maana na maudhui ya Rasimu ya pili ili taifa lipate ufahamu unaostahili.
- Kuamuru Serikali kuufungua Mtandao wa Tume ya Katiba uliofungwa ili kuwapa wananachi wote uhuru na uwezo wa kupata ufahamu wa mengi yaliyozuiwa wasiyajiue baada ya tovuti hiyo kufungwa.
- Kutoa kinga kwa Vyombo vya Habari vinavyolenga kuendesha mijadala ya Wazi katika kuelimisha wananchi kuhusu maudhui ya ufahamu wa Rasimu ya 2 ya Katiba ili waweze kujiandaa kwa ufahamu ufaao kuelekea upigaji wa Kura kama hatua hiyo itafikiwa.
- Kutoa tafsiri Kamili ya misingi ya Rasimu kulingana na sheria ya Katiba, na kuhakikisha misingi yake mikuu ya Rasimu ya 2 (ambayo yanatokana na maoni ya Umma) haiguswi au kumomonyolewa au kuvurugwa kwa hila na makundi ya wachache wanaoongozwa na Spika.
- Kutoa kinga kwa waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba waendelee kuelimisha wananchi ktk makongamano ya wazi na kuwaongezea ufahamu zaidi maana Rasimu hiyo ndio msingi wa Katiba yao waliyoiomba kwa miaka zaidi ya 30.
Limeambatishwa hapo katika PDF File
Wahuni tu hawa wamekosa cha kufanya kazi yao ni kutumika tu.
Na kwa namna hiyo hiyo kama ilivyo Mahakama haiwezi kuingilia kauli mle bungeni, naamini hivyo maagizo ya Sita kwa Serikali (kwamba serikali alimtaja Waziri yule wa Habari) hayapaswi kutekelezwa na Serikali- kwa maana tu ilikuwa ni kauli na sio maamuzi ya Bunge!Mahakama ina wajibu lakinin sitegemei LHRC kukomea kwenye kutoa matamko tu; Nafikiri Sitta (Mwenyekiti BMK) na Rehema Nchimbi (RC Dodoma) wanapaswa kuwajibika kwa kauli tata walizotoa. Sitta yeye kasemea kwenye BMK na kama huko wanayo kinga basi hawezi kufanywa kitu lakini yule mama anapaswa kuambiwa tena kwa namna kali kuwa yeye hayuko juu ya katiba ya nchi hii inayowapa watu uhuru wa kuzungumza bila kuvunja sheria! U-CCM ni utumwa kabisa.
Wahuni tu hawa wamekosa cha kufanya kazi yao ni kutumika tu.
U-CCM ni utumwa kabisa.
Mbona madai na hoja zenyewe za kipumbavu kiasi hiki ni mahakama gani ambayo inaweza kusikiliza uzezeta kama huu.