Kama si Propaganda za CHADEMA (si ajabu katika siasa za chama chochote), basi ni mtego ambao viongozi wa CHADEMA wamenasa, na wasipokuwa makini watajikuta kwenye shida. Inaweza kuwa ni mbinu za kuwachafua na kuwafanya waonekane si watu wa kweli na wasiokuwa na chanzo cha uhakika. Nadhani pia viongozi wa CHADEMA wanahitaji kuwa makini kwakuwa kipindi hiki mkakati unaoweza kuwepo, ni kuwapunguzia umaarufu kwa kuwafanya wawe na maamuzi mabaya katika mambo y amsingi.Tamko toka ikulu
Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.
Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.
source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti
kwi! Kwi! 'za kikwete changanya na za mabwepande'kama kazi ya usalama wa taifa ni kuangalia maslahi ya taifa, kwanini ufisadi umekithiri hapa nchini, rushwa ndo usitheme, wanafiki tu hao, kazi kubwa ya usalamawa taifa ni kulinda maslahi ya viongozi tena mafisadi.
" za mbayuwayu changanya na za gongagonga"
" za balozi omben sefue changanya na zako"
Spin Doctors, Spin Doctors!
Kama sio tishio kulikuwa na haja gani ya wewe kutoa hisia kali namna hii. Badala ya kukataa ukweli ingekuwa vyema kama nyie watu wa usalam amngekaa kimya, msijibu - lakini kwa kuwa you are so self centered and have all lost touch with the reality, you feel there is a need for you to say something over these kiling and destruction plans.
historia inawasuta, you are called inteligence Officers but you are all bunch of twisted morons! Zero intelligence! Shame of your childrens![/QUOTE]
mh?!!!!!!
Wajiamulie wenyewe tena waendelee kufanya kazi kwa nani??? Nani mwajili wao si ni answerable kwa Raisi maana yeye ndio ikulu, kuna ikulu ngapi???mi ninaamini kuna maamuzi mengine usalama wa taifa wanajiamulia hata boss wao rais anakua hajui
Tamko toka ikulu