Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

NDIO ICHO TUNACHOSEMA MTU MAKINI UFIKIRIA BAADA YA KUSEMA WANASEMA WANATAKA USHAIDI UPI TENA ? HATA MTUUE NCHI NZIMA SERIKALI YA KIDHAERIMU AINA NAFASI MILELE ... THE END JUSTIFY THE MEANS Maadui wanne wa maendeleo CCM, UJINGA, UMASKINI, na MARADHI. .
 
Tamko toka ikulu

Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti
Kama si Propaganda za CHADEMA (si ajabu katika siasa za chama chochote), basi ni mtego ambao viongozi wa CHADEMA wamenasa, na wasipokuwa makini watajikuta kwenye shida. Inaweza kuwa ni mbinu za kuwachafua na kuwafanya waonekane si watu wa kweli na wasiokuwa na chanzo cha uhakika. Nadhani pia viongozi wa CHADEMA wanahitaji kuwa makini kwakuwa kipindi hiki mkakati unaoweza kuwepo, ni kuwapunguzia umaarufu kwa kuwafanya wawe na maamuzi mabaya katika mambo y amsingi.
 
kama kazi ya usalama wa taifa ni kuangalia maslahi ya taifa, kwanini ufisadi umekithiri hapa nchini, rushwa ndo usitheme, wanafiki tu hao, kazi kubwa ya usalamawa taifa ni kulinda maslahi ya viongozi tena mafisadi.

" za mbayuwayu changanya na za gongagonga"

" za balozi omben sefue changanya na zako"
kwi! Kwi! 'za kikwete changanya na za mabwepande'
 
Spin Doctors, Spin Doctors!
Kama sio tishio kulikuwa na haja gani ya wewe kutoa hisia kali namna hii. Badala ya kukataa ukweli ingekuwa vyema kama nyie watu wa usalam amngekaa kimya, msijibu - lakini kwa kuwa you are so self centered and have all lost touch with the reality, you feel there is a need for you to say something over these kiling and destruction plans.

historia inawasuta, you are called inteligence Officers but you are all bunch of twisted morons! Zero intelligence! Shame of your childrens![/QUOTE]

mh?!!!!!!
 
mi ninaamini kuna maamuzi mengine usalama wa taifa wanajiamulia hata boss wao rais anakua hajui
Wajiamulie wenyewe tena waendelee kufanya kazi kwa nani??? Nani mwajili wao si ni answerable kwa Raisi maana yeye ndio ikulu, kuna ikulu ngapi???

Sasa kama anayeongea amewekwa pale kwa kuteuliwa na Mkulu..unategemea atamtetea nani.? Yaani hii Tanzania yetu sijui inakwenda wapi maana tumesahau hata Mwekyembe alitishiwa hivi hivi. Tena akatoa na vidhibitisho including number za magari yalitotumika kumfuatilia. Lakini mpaka leo Polisi hawakumkamata yoyote. Na mwisho wa siku Mwakyembe yakamkuta yaliyompata...real kama mtu angeweza kudisclose issues zinazofanyika hapa TZ unaweza kuhama nchi..
Ndio maana tunaendelea kuwa maskini tu.
 
Tamko toka ikulu

Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

Mh: inawezekana
 
Wao wameshindwa kuleta maendeleo waondoke wapishe wengine wafanye kazi na si kuwaua. Wasitufanye sisi watoto wadogo
 
ocampo bado yupo? Na the hague bado mahakama ipo? Tusubiri muda tuu its not as easy as most of us thinks time will tell
 
mh sefuni ombeni tulitegemea uchambuzi yakinifu kutoka hapo badala ya kuhoji vitu ambavyo wananchi nao wanahoji .kwa mfano chadema wao waliweka wazi kila kitu na kueleza matukio ya nyuma yaliyo wagusa na serikali ilipaswa ieleze pia juhudi ilizo chukua badala ya kuhoji tena ,na watanzania nao wanahoji ,sasa nani atamjibu nani .majibu mengine kwa hoja nzito watu wasikurupuke tu na kuhoji badala ya kujibu maswali kwa kina .tunao wasikiliza hatuwaelewi kabsa
 
Tamko toka ikulu

Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

Kumbe sasa mtu akiwa tishio ruksa kuuwawa siyo?

Ikulu nimewasoma asanteni kwa ufafanuzi mzuri na unaoeleweka. Maswali yetu yamepata majibu stahiki:A S cry:
 
Kifo cha yule mtalii uchunguzi siku 2.Mashambulizi ya Dr.Ulimboka hadi sasa jii.Imani sahih juu ya polisi iko wapi hapa?
 
Ndg tamuchungu katika post yako #40, umeandika point muhimu,Hivi Serikali kwa ujumla wake haioni kuwa haiaminiki kwa wananchi wake? Je, haijui kuwa wananchi hawana imani na Jeshi la Polisi? Wala hawaoni sababu ya kufanya survey kujua kwa nn haiaminiki, na nini kifanyike kurudisha imani? Kiukweli Watanzania hawana imani na idara zote za serikali kwa sababu ya utendaji kazi wake MBOVU, UDANGANYIFU HATA KWA VITU AMBAVYO VIKO WAZI, UTUMIAJI MBOVU WA RASILIMALI ZA TAIFA, KUTOWAJIBISHA WATUHUMIWA MBALIMBALI, NK.

NAJUTA KUZALIWA TANZANIA!
 
Walimpiga polisi wa serikali bado mnataka polisi haohao tena wachunguze? Si ukachunguze wewe si unaweza pia? Lakini kwa kuwa polisi hawawazi kama uwazavyo watakupuuzia na kuchunguza tu
 
ni mgeni. Kwenu wageni huwa mnafanyaje wanapotembelea kwenu then wanapekuliwa begi na kupoteza fedha? Huenda ni kawaida tu maana baba teja, mama muuza gongo
 
Back
Top Bottom