Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Ulimboka na Slaa nani mtoto kama ndio unalinganisha umri wewe hujui unchokiandika. mama muuza Pleaseeeeeee!!!!!!! muongezee chupa ya nne ya gongo ili povu limtoke zaidiivi slaah! lema mnyika! nikama nani katika nchii hiii! mpaka watishiwe kuuwawa? hawa adhari na wanatishia kitu gani nchi hii! mbona ni watoto wadogo sana katika hii nchi! kuna watu wanaoweza kutishia hii nchi na kuna watu ni hatari wakuweza kuadhiri hii nchi! sio hao watoto wadogo! bali wanapoteza muelekeo tu hawa wanasiasa! mtu wa slaa kwenye usalama wa taifa soon atatoka madarakani sasa izi ni njama za kumchafua kaimu kwa kuwa sio mwana siasa mwenzao! waachwe kuawa wakina edward m ambao sasa ni wako BBc ambao walitishia hii nchi itakuwa ha watoto jamani! unafki tu huu! afu ni woga