chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm
Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.salamu kwa pasco wa jf,alituambia ile video ni ya ukweli,pasco tunakutaka hapa jamvini mara moja
ndio hivyo mkuu, chadema wanazo details zote za mawasiliano, hapo wanachotaka ni ku cross check tu!
Hongera naona kwa mipasho uko vizuri.
mkuu bunge cjui bungeni. Hatujakataa hiyo content na wala haifai kufuta ila mtataga mwaka huu tena mayai ya mbuni aisee masaburi lazima yachanike! waite chilisoso , ze marcopolo nk! wakuasaidie kucomment! MKUU MUNGU ALWAYS NI MWEMA SANAHaya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Mkuu wa JF nakupongeza kwa msimamo wako wa kulinda maslahi mapana ya watanzania kwa kutoshirikiana na maafisa usalama wa Taifa waovu waliotaka kuitumia JF na wewe mwenyewe kuwadhuru wananchi wasio na hatia.
Nakuomba uendelee kushikilia msimamo huo huo Mungu ataendelea kukulinda na kukupigania na kukuepusha na hila zote za policcm, usalama wa ccm na waovu wote walioko ccm na serikalini.
Kwa kamanda Mabere Nyaucho Marando, ahsante sana kwa kuwa-beep wapanga mipango ya uhalifu nchini. Sasa kwakuwa kila siku wanapiga mayowe kuwa simu zao zimejaa 'credit' tunasubiri kuona mwenye jeuri ya kukupigia! Nategemea Mwigulu Nchemba awe wa kwanza kukupigia kwakuwa ana credit ya kutosha kuliko wenzake.
CCM ni chama cha wazee...bila shaka wewe ni moja ya wazee wa dar es salaam...kwa mwaka unapata posho ya buku tano na ubwabwa Rais anapowaalika....!
Hongera kwa mawazo yako babu wa dar
I'm Speechless!.
Ila pia tumepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo ya kimawasiliano na kisheria, ambapo mawasiliano ya simu binafsi za watu ambayo ni siri, na yamepatikana kinyume cha sheria, yanapowekwa wazi kwa waandishi wa habari pamoja na namba za simu!, haya ni maendeleo makubwa sana kimawasiliano!.
Pia kwa kawaida, maombi huwasilishwa kwanza mahakamani ndipo umma ukatangaziwa ni maombi gani yamewasilishwa, lakini sasa kumbe unaweza kuwasilisha maombi kwa kuwatangazia wanahabari, hadi clasified information ulizonazo, ambazo zimepatikana kinyume cha sheria, kwa kutangaza details za hizo info, na ndipo kuziombea rasmi kibali cha mahakama ili ziwe releazed legally, haya pia ni maendeleo makubwa katika tasnia ya sheria!.
Kiukweli hii ni very high profile case, nadhani kwa kumbukumbu zangu, it the highest kwa hapa nchini, kwa mshatakiwa mmoja, kutetewa na mawakili 7!, wakati mshtakiwa mwenza bado hana wakili hata mmoja!.
Please watch out kwa twists and turns za hii kesi hapo mahakamani hiyo kesho!, mambo matatu haya yanaweza kutokea.
- Kesi inaweza kufutwa na kufunguliwa upya, washtakiwa wakaongezeka au kupunguzwa ukiwemo uwezekano mkubwa sana wa Ludo kuondolewa mashtaka na kugeuzwa shahidi No.1 wa serikali!.
- Kesi inaweza kufutwa na kufunguliwa upya ikijumlisha kosa la utekaji wa Kibanda.
- Kesi mpya ya shitaka la Kibanda inaweza kufunguliwa au hivyo kuzifanya hizi kesi kuwa ni kesi mbili tofauti.
- Kesi inaweza kuendelea kutajwa kama kawaida bali kwa kuongeza mshakiwa yule "Bukoba Boy!".
- Lolote kati ya hayo linaweza likafanyi, au yote yakafanyika au yote yasifanyike!.
Pasco.
Mheshimiwa Spika, kuna jambo ambalo limekuwa likiandikwa na kulalamikiwa na watu, kwamba ugaidi ugaidi. Katika jambo hili nawaomba Watanzania wasikilize kwa makini, kuna jambo lilitokea na jambo hili ni jambo la kigaidi, limeandikwa sana na kwa masikitiko linapotoshwa, yaani watu wanapotosha mpaka mambo yanayohusu maisha ya watu.
Eti wanasema usalama wa taifa, mara wanasema polisi wanatesa watu, katika hili wala msihangaike na kwenye jambo hili hakuna polisi wala usalama wa taifa. Jambo la mkanda, aliyerekodi huo mkanda yuko tayari kusema kokote, aliyeniletea huo mkanda yuko tayari kusema kokote na mimi niko tayari kwenda kokote hata kama ni mbinguni.
Chadema walipanga kuteka na kuua na huyu mwandishi walipanga kumuua eti wanadai picha ilitengenezwa, sasa kwa taarifa yenu hata pale alipokuwa anaongea, (akimaanisha Lwakatare), aliandika hata ile karatasi ninayo, ni hii hapa, fingerprint ni ya kwake, mwandiko ni wa kwake na vyote alivyokuwa anafanyia kazi vimepatikana na alisema atatoa ushahidi na mimi niko tayari kutoa ushahidi kokote iwe ni hapa na hata mbinguni nitakwenda, alisema Mwigulu akionyesha karatasi hiyo na kuongeza.
Eti Mbowe (Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe), anasema anayewasiliana na gaidi eti naye aunganishwe na ugaidi, hebu fikirieni, yule aliyekuwa akipanga njama ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, kama ni viongozi, amewasiliana na viongozi gani kama siyo wakubwa zake ambao wamemwagiza kufanya hayo?
Umebaki peke yako. Toa hoja sio vijineno dhaifu
Mtu akikaribia kufa lazima arushe rushe miguu. Chadema inarusha rusha miguu
Tatizo lako ni kujiaminisha ujuaji wa kila kitu nina shaka nawe ni wakala wa TISSMkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.
Mkuu bluetooth,
Nilichoweka ndicho CHADEMA walichosoma. Nimewaomba mods wazingatie ethics za uandishi, wanisaidie kuondoa # za simu
Hujawahi kufa wewe ndo maana...ukiona mtu anarusha miguu ujue labda anafanya mazoezi au anaruka ruka kwa ushindi plus furaha....
Kwenye bold, ina maana huna mpya maana ushajiwekea kinga! being speechless ilikuwa inatosha!
Wewe tulia unyolewe!