utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mohamedi Mtoi, wa CDM naye anahusika na haya mambo ya utekaji nyara.
Sijawahi kuona mfa maji akizama jumla tu bila kutapatapa
Sijawahi kuona mfa maji akizama jumla tu bila kutapatapa
Na bado!
Kwamba Pasco ni gaidi? Sidhani...Pasco tutamchukia mamvi akipitishwa kugombea urais....short of that Pasco mwepesi kama toothpickPasco nawe namba yako ni ipi? Kati ya alizotaja mabere? Maana inaonekana kuna jambo zito walijua ila hutaki kulisema kwa sasa. Wana JF jihadharini sana, maana inaonekana genge la magaidi lina mtandao mpana sana.
Hizo kumbukumbu wataalamu wanaweza wakacheza nazo halafu mkafunguliwa kesi ya kughushi taarifa za uongo.
Sijawahi kuona mfa maji akizama jumla tu bila kutapatapa
Unajua watu wengi sana wanajua wanaopinga dhurma inayofanywa nchini ni lazma uwe wanachama wa chadema uliye front line. Wanasahau kuwa wapo wanachama damu wa chadema ndani ya Ikulu, ndani ya ccm, ndani ya serikali na wizara zake na ndani ya vodacom, tigo etc ambao wala hawajitokezi wala kutambuliaka.wakihongwa basi huyo afisa wa voda aliyehongwa,aliyemhonga,namna alivyohongwa,tarehe,saa na details zote za tukio vitawekwa hadharani.hata wakifuta details na kubadilisha data kuwaokoa hawa mafisadi tukio hilo litatajwa hadi tarehe na data zilizobadilishwa,aliyebadilisha na alivyobadilisha na aliyemtuma,tangu anaamka asubuhi alikunywa chai na nini,chezea nguvu ya umma wewe?watu wameamua kutetea nchi yao hawana maskhara hata kidogo!
Wadau, siamini kama tamko hili limetolewa na mwanasheria ambaye si tu amebobea katika fani yake bali pia ni mtu ambaye aliwahi kufanya kazi katika idara ya usalama wa taifa kutokana na ushahidi wa tamko lake hili. Cha kusikitisha zaidi, ameongea mambo ambayo anajua kuwa anayo fursa kupitia mahakama kueleza yote hayo ambako ninaamini ndiko kwenye msaada mkubwa kuliko kuongea na waandishi wa habari ambao wataishia kuandika tu. ninajua kwa sasa chadema wanatafuta huruma za wananchi kupitia matamko yao hayo kwa vile wamechungulia na kuona kuwa hawawezi kushinda kesi ya lwakatare.
Sijui kama kutakucha leo.....ushetani huu lazima mwisho wa Dunia ufike. It pains
Huu mwaka tutaukumbuka milele...ndio mwaka tuliotimua washenzi wa bavicha...sasa tunakaribia kuliumbua kubwa la maadui....mzee wa virus vya jiran na viongozi waandamizi! dadeki!!Na bado!
Huyo mheshimiwa alikuwa anapiga mayowe hapa jamvini eti kwenye chama kuna kirusi kilichovujisha "barua yake" kwa Katibu Mkuu kumbe kirusi halisi ni yeye mwenyewe. Kweli duniani kuna wanafiki.
Sasa ndugu zangu wa CDM, mmeshaanika mchele kwenye kuku wengi mnatarajia mkute hizo kumbukumbu za mawasiliano ya hao jamaa zikiwasubiri? Hamjui ya kwamba fedha ni mwanaharamu?