Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.


mtaongea yote safari hii.
 
Hiyo orodha ya Mawakili ni nooma!!

Mwigulu ajiandae
 
msingeweka ushahidi mzito kama huu kwenye mtandao....nani ajuaye atakayehonga Vodacom wasitoe ushirikiano?
 
Mohamedi Mtoi na Edwin Mtei hii namba mmeifanyia kazi?
 
Hahahaaa, wanichekesha kweli. Hivi unaamini hiyo mipasho ya akina lissu na marando? Wakati utafika watakapoumbuka
 
cdm wakipenya hapa mipango ya ccm itakuwa imevurugwa kiasi cha kukisambaratisha chama , lakini ndani ya ccm kuna watu waajabu sana katika kusuka mipango miovu na isiyo na vision yoyote kwa taifa awali walikuwa wanatupiana wenyewe tu sasa wametoka nje . Ngoja tuone hiyo inayokuja.
Binafsi naona hizi movie za kijinga za ccm zimekuwa zikiwatoa watanzania kwenye mijadala ya mambo ya msingi. Kwa mfano hii ilitutoa kujadili matokeo ya kidato cha nne na mengineyo.
Sasa hivi bungeni wamebakiza kuzungumzia hiyo movie ambayo imetolewa bila kupitishwa na basata huku wakiweka pembeni suala muhimu kama bajeti tunaongozwa na watu wa ajabu sana.
Dalili za kumtumia tendwa ziko wazi sana si naye anatumia mwili wake tu akili za wengine utaona ikiletwa wata mtune kama radio tu huyo kwenye vyombo vya habari,mh poor ccm and tendwa.
 

kabisa mkuu ila hapa nona wasira na Nape wamechanganya na za kwao!
 
Du kumbe naargue na watu ambao pombe zimekolea kichwani. Ninaamini hata marando ameandaa tamko hili akiwa njwiii
He, kumbe hapo ndo unaargue! kama ubongo ungekuwa kiungo cha uzazi hakika wagumba wangekuwa wengi na wasiozaa kwa sababu za kutotumia ubongo wangekuwa wengi mno
 
Mungu yupo upande wetu CHADEMA. naamin katika uchunguzi huu makini mawasiliano ya Zitto hayawezi kukosa sema chama kimeamua kutokuweka ukweli wote bayana kwa maslahi mapana ya chama na taifa, Maana kuanzia alivyokurupuka ktk swala la kutaka lwakatare awajibishwe na kuvujisha barua mitandaoni basi ni wazi kwamba the guy Zitto yupo nyuma ya saga hili sema kwa ajili ya hekima huenda chama kimeacha kumuhusisha.

Cc Lukolo, Lwesye, Greenwhich
 
Last edited by a moderator:
Tuliwaeleza kuwa chadema ina intelijensia kali kuliko tiss.

Sasa ccm tafuteni mchawi wenu.
Watu ambao nitaomba mahakama itoe amri ya kuletwa taarifa zao simu
na meseji (sms) ni Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa nchini (TISS), Jack Zoka, anayetumia simu Na. 255756809535, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Lameck Nchemba, anayetumia simu tano zikiwamo 0754 008888, 0757 946223, 0714 008888 na 0787 513446 na Ludovick Joseph Rwezahula, ambaye simu zake ni,0715 927100 na 0753 927 100.

Yericko Nyerere bado hamjafanya kazi vizuri,hiyo namba yenye RED anaglieni kwenye M-PESA muone imesajiliwa kwa jina gani?
 
Nawashangaa magaidi kurukaruka Maana hizi mbwe mbwe kwenye Tamko haziondoi ukweli wa Yale yaliyopo kwenye video ya lwakatare. Marando angetuambia Yale anayoongea lwakatare Sio kweli Tamko lake lingekuwa na maana

Hapo angekuwa ameingilia uhuru wa mahakama.,Huu mziki unaujua au unarukaruka tu hapa???Pole pumzisha akili kidogo.
 

Mkuu unaweza kudadavua ni kwa nini mfano polisi wakiwa wanaenda kukamata mtu huwa wanawasha ving'ora na huwa hawaendi kimyakimya.? Reason iliyopo hapo inaafanana fika na reason ya chadema kuanika ushahidi huu hadharani.

Hiyo ni technique moja kubwa sana ya kiintelijensia, na ndiyo itakayowasaidia kwa kiwango kikubwa kushinda kesi.
 
mkuu hakika taifa letu haliko katika mikono salama. tunapata picha ya kwamba serikali inalinda wahalifu, kumbuka rais alivyounga mkono kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi baada ya kumtaja Ramadhani Ighondo.

unasema taifa haliko salama je umejipanga kufanya hujuma?
 
Mh. Malando, Waheshimiwa na makamanda wote wa CDM, heshima zenu. Hongereni sana kwa umakini huu. Ninazidi kuwakubali.

Ombi kwa Mheshimiwa Malando, nenda kaombe na Mwigulu, Riziwani Kikwete, na Nchimbi, wanyang'anywe passports hadi kieleweke. Hawa ni magaidi nambari moja Tanzania tena ni watu hatari na ujinga wa kupindukia. Wameua na kuumiza watu wetu sana. SASA HATUKUBALI. LAZIMA WASHITAKIWE TENA THE HAQUE.
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm



Hivi lile tamko ulilolitoa Congo kuwa Mkulu asilete majeshi kwenu pia lilitolewa na CDM?
 
kabisa mkuu ila hapa nona wasira na Nape wamechanganya na za kwao!
Namba ya masatu wasira ilitakiwa ifuatiliwe huyu ndo aliye itangazia dunia kuwa atahakikisha kuwa cdm inakufa mwaka huu!. huyu ni waziri wa mahusiano asiye jua kuhusiana, aliyepewa jukumu la kustwisha demokrasia huku akijiapiza kuua vyama vya siasa!
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm

Akili yako haina akili,inawezekana baba ako yuko usalama wa taifa
 
naunga mkono hoja

Siamini malando na utu uzima wake amekuwa muongo kiasi hiki kweli alichokiandika ni uongo mtupu kweli Huyumzee kazeeka vibaya hivi naomba nisaidieni Huyu mzee hapo awali alishaitupa kufanya kazi wapi? Mi nimemfaham akina CDMA make wengine hufanya haya kwa Kuwa hawakustaa fu visiting kwa hiyo hiyo ni hasira tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…