Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.

Hahahaaa. Hapo tiss wanahusikaje. Tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni kuamini kila kito wanachokisema tuwapendao hata kama hakina ukweli ndani yake
 
ongea hoja siyo kukimbia tu hapa tunataka hoja wala siyo habari za magamba,jenga hoja lisaidie taifa.

mkuu kisu kimegusa mfupa?tulia kwanza umekurupushwa nini?mi na wewe nani anatakiwa kujenga hoja?hoja ipo kwenye uzi unataka hoja ipi tena?dawa ya jino ni kung'oa cyo kuziba
 
Mh marando nimekuelewa, i treasure you and cdm alwayz. Thats good move. Nimependa hapo ulisema cdm inamtandao toka police mpaka ikulu.
God bless cdm.
 
Yes, No points to be Calmer brings Drama.

In the name of Allah, The Benefficient, The Merciful.

Amen and amen

viva chadema
 

yaani hata ukitazama post zao humu utagundua hilo.hawana habari kabisa na janga wanalojitengenezea and they are very confident they can continue like that bila shida!kweli MUNGU akiamua kumshusha mtu humuondolea akili kwanza ili anaposhushwa asigundue zaidi ya kujiona anazidi kupanda na kushangilia!
 
Hahahaaa. Hapo tiss wanahusikaje. Tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni kuamini kila kito wanachokisema tuwapendao hata kama hakina ukweli ndani yake

mkuu, we nichukulie poa tu, nabwabwaja tu maana ndio starehe yangu... tena leo jumapili nashushia mibwabwajo na kabia kamoto

hapo kwenye red ndio tatizo lako pia wewe,
 

Mtoi,

Ni¨lifikiri na wewe ni wale wanaoheshimu ustaarabu wa kutokuzungumzia mambo yaliyo mahakamani.

Nakumbuka jana ulikuwa pamoja na wale wanaounga mkono kesi kufutwa kwa sababu imeongelewa kwenye Bunge. najua Marando akijibiwa mtawalaumu walomjibu.

Lakini kesi iko mahakamani na Tundu Lissu alisema atashinda kesi hiyo kwa nusu saa. Sasa nashangaa Marando anasema ataongeza wanasheria wengine! Hao wanini tena wakati Tundu Lissu alisema within half an hour atakuwa kashamaliza kesi?
 
Na huyo ndio Pasco mzee wa bonafide genuine..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: MC
Mpango huu kama ikulu inajua basi kikwete yumo ndani pumbavu kabisa hawa.
 
Bora uulize dhumuni la hili swala kuwekwa public kabla ya kwenda mahakamani! Hii case kwanza ina interest za kisiasa kwa hiyo lazima wapambanaji wa twange kote kote!

Pili haya yamewekwa hadharani hili watu wajue tena wajue kinacho endelea najua wengi wasingeweza kujua haya lakini hii ni fursa yao!

Hapa ngoma ni inogile tuu!

 
Hahahaaa. Hapo tiss wanahusikaje. Tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni kuamini kila kito wanachokisema tuwapendao hata kama hakina ukweli ndani yake


hujaelewa au unajifanya hujaelewa?? Mwenye tatizo hilo ni wewe na si watanzania.
 
Jamaa hajui chochote kabisa yani anashindwa kwa nini mtu anatolewa kwa sharti la dhamana, nilicheka sana kule kwenye uzi wa kushikwa kwa maggid!

anapata posho kwa anachoandika. Na wanaomlipa ni vihiyo zaidi yake.
 
Hii ni habari njema sana. Tanzania yenye neema inanukia. Chadema ni chama kikubwa sana na ccm walitambue hili. Hata hivyo tunashukuru kwa hii video ya Lwakatare kutengenezwa na kuvujishwa na hao hao kumbe wanajimaliza wenyewe. Bado kuna mmoja ambaye anaitwa mtu wa mahusiano-wassira. Huyu nae ana kesi za kujibu. Kauli zake ziko kwenye hansard za vichwa vyetu. Maisha bora kwa kila mtanzania yananukia. Viva Chadema!
 
Kama ni kweli basi waliokua wakipigiana simu watakua ni wajinga wa mwisho.
Kwani baada ya tukio la ulimboka na mawasiliano yakaanikwa hadharani,hata mtoto wa chekechea anajua kuwa huwezi tumia namba yako ambayo iko registered kufanya mawasiliano ya hatari.
 
waswas wangu ni kwamba, itakuja kuthibitika katika tarehe hizohizo, namba hizo na watu hao walikuqa wanawasiliana na ama Mbowe,Slaa , Zitto,Mnyika ama kiongozi yeyote muandamizi wa CDM. la nsingi sio nani aliwasiliana na nani kwa myda gani bali ni waliwasiliana kuhusu nini.... walio na akili fupi kama maisha ya funza wanaweza kudhani kuwa kesi imeisha kumbe ndio kwaaaaaanza kumekucha
 
mmhh! tunakoenda sio salama, kama CDM waweza kuyajua haya, kikwete anafanya nini Ikulu, mbona naona yupo uchi?

Acha matusi unatukana hadi rais sijui malezi yako yakoje! Hujui Kuwa CDMA ni wataalamu wa kupika majungu na kuchochea mambo ili nchi isitawalike.
 
Nimesoma mpaka mwili wangu umekufa ganzi. Nahisi hili litakuwa gumu sababu hakuna namna yakukataa kuwa mkuu wa kaya hajahusika hapa. Najiandaa kwa maandamano yasiyoisha mpaka haki itendeke



naunga mkono hoja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…