Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,532
- 113,667
Shalom, lengo la vyama vya siasa ni kushika dola, tuna vyama 19, kimoja tuu ndio kimeshika dola, vinaingia kwenye uchaguzi kwa mara ya 4 vikiwa fragmented, au huku ndiko unakokuita kuthubutu?. Tuendelee kuvilea vyama vinavyoendelea kuthubutu ama viunganishe nguvu vifanye kweli?.wewe futa usemi wako hapo juu zaidi hakuna. Kuna vyama vya upinzani ambavyo vimethubutu vingi tu sawa?
Kama ulimaanisha just kuthubutu, basi nimefuta kauli yangu!.