Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,571
Asante Shadow, hii certiorari ni nini?.Angalizo mzee, inaitwa 'writ of Mandamus' au kwa lugha nyepesi 'Mandamus Order'
Kumbukumbu yangu, kesi ya mwisho kuiomba Mahakama Kuu kuissue 'writ of Mandamus' ni ile ya Bawata iliyosimamiwa na Prof. Shivji, aliiomba tangu 1994 imekuja kutoka mwaka huu after 16 years!. Natumaini CCJ wana wanasheria, watawashauri mapema mahakamani wasiguse. Kabla ya kufungua kesi ya 'writ of Mandamus' lazima uombe kibali cha DPP, aridhie ndipo uende mahakamani, na kesi ikifunguliwa tuu, Tendwa atasimamisha kila kitu kusubiri maamuzi ya mahakama.