Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah.... Nilikiona kitu matata sana kule fb... Siku ya mubashara ikanibidi tu nifake call ili nisepe.... Ilikuwa limao badala ya passion[emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah.... Nilikiona kitu matata sana kule fb... Siku ya mubashara ikanibidi tu nifake call ili nisepe.... Ilikuwa limao badala ya passion[emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa wew na Mimi nani shombo,..kujipea kua unafatwa fatwa wakati ata kweny screen saver aukai,labda tukitengeneze kibao cha mpapule tupate tax za museum,... Amna wakuku fata fata wewe inbox mkuu,..like serious,.. Shubamitt,..!!!??,sitaki shobo!.. Gadamit!!!??,..kwa uzuri UPI au izo carolite zinakupa confidence
AbeeeeeeHuu ni mfumo jike mbona STUNTER hajawahi fuatwa PM! Usawa upo wapi cc Shunie espy Heaven Sent miss chagga
Abeeeeee
Umefuata wangapi PM (wanaume)?Abeeeeee
Wengi sanaUmefuata wangapi PM (wanaume)?
Oops sorry sikuwa nimeona mwaya. Andika @ kisha bila kuacha space, andika jina (ID) la unayetaka kummention. Mfano BIGstallionHeaven Sent
Heaven Sent sijui imekubaliOops sorry sikuwa nimeona mwaya. Andika @ kisha bila kuacha space, andika jina (ID) ya unayetaka kummention. Mfano BIGstallion
Ooh yes imekubaliHeaven Sent sijui imekubali
Hahahhahaha nimecheka hadi nimezimia, kumbe dada zako ndo tabia yao wamejikoboa utafikiri nguruwe pori, wewe mtoto mdogo tulia watu wazima tunaongea mara ya kwanza na mwisho kuniquote siku ubwabwa wa shingo ukikuisha ndo urudi hapa, haya chukua mashuka yako ujifunike hapo barazani kwa shemeji yako.Sa wew na Mimi nani shombo,..kujipea kua unafatwa fatwa wakati ata kweny screen saver aukai,labda tukitengeneze kibao cha mpapule tupate tax za museum,... Amna wakuku fata fata wewe inbox mkuu,..like serious,.. Shubamitt,..!!!??,sitaki shobo!.. Gadamit!!!??,..kwa uzuri UPI au izo carolite zinakupa confidence
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha sana"nguruwe pori"Hahahhahaha nimecheka hadi nimezimia, kumbe dada zako ndo tabia yao wamejikoboa utafikiri nguruwe pori, wewe mtoto mdogo tulia watu wazima tunaongea mara ya kwanza na mwisho kuniquote siku ubwabwa wa shingo ukikuisha ndo urudi hapa, haya chukua mashuka yako ujifunike hapo barazani kwa shemeji yako.
Aya kula kulala nimekuelewa ila achana na carolite,..ngozi kukoma sio mwishowe wa Maisha,..umekua kijakazi kijuso ila [HASHTAG]#pambananahaliyako[/HASHTAG] bwahahahahaha misstraceHahahhahaha nimecheka hadi nimezimia, kumbe dada zako ndo tabia yao wamejikoboa utafikiri nguruwe pori, wewe mtoto mdogo tulia watu wazima tunaongea mara ya kwanza na mwisho kuniquote siku ubwabwa wa shingo ukikuisha ndo urudi hapa, haya chukua mashuka yako ujifunike hapo barazani kwa shemeji yako.