Tamko kwa wanawake wote.!

Tamko kwa wanawake wote.!

DEAR LADIES,

Kama umechoshwa na text za majamaa huko
PM….
Kila ukijitahd kuwakataza
Hawakuelewi….
Ukimblock huyu mwingine
anakuja….
Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You itakusaidia…..

Ingia room kwako
Vua Wigi, Toa Weave,
Toa na kope bandia
Ingia Bafuni
Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
Chukua simu Piga picha Usitumie app yoyote ku edit..
Upload kama
ilivyo Iweke profile Picture yako
NOW they will see
“Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Tupo tayari kukusikilza…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwingine akitoa hizo mambo ndiyo anakua mzuri zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwingine akitoa hizo mambo ndiyo anakua mzuri zaidi
Mmmmh wanawake wakianza kutumia hizo fake huwa wanakosa kujiamini kabisa yani...yaani kukaa dakika moja bila kuweka fake huwa hawawezi
 
Dah.... Nilikiona kitu matata sana kule fb... Siku ya mubashara ikanibidi tu nifake call ili nisepe.... Ilikuwa limao badala ya passion[emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu ishu unakuta mambo ya PM wanakuja kuyaleta public,
tutakuja kutoana ngeu siku moja
Mfumo jike wanasubiri sie tuwaanze lazima nao waanze kuchangamkia tenda wajimwage PM zetu au mwenzangu ulishawahi kupata PM kutoka kwa akinamama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom