Kwani yeye si mdada! Lazima hata awe na sura ya babake mkubwaKumbe hadi wewe wanakusumbua???
Mie sijawahi pataYeah nazipata nyingi tu, wewe bado?
Nakuaminia, haujawahi kuniangusha
Hahaha kule nimesha hama, ndomana unaona nipo available, niko mbezi huku
Hahaha sijawahi kutumia aisee...
Sasa inabidi uhame huko Rombo uje jijini
Tutakuwa tayari kuwasikilizaNa ambao hawana kope bandia, wananyoa, na hawajiedit ... Bado wanafuatwa kama kawaida .. Wafanyeje sasa?
Huku moshi hakuna bahariDah una muda gani hujaoga maji ya bahari?
We kijuso una lolote,..sura huna shepu huna,..kazi kudandia mishahar ya watu,..ebu kaa chini usitualibie siku,..Gaddamit,..!!Tangazo gani labda kwamfano na watu gani labda maana sijaona wakuwawekea tangazo bado.
Hahahahhahahahaaa, unaishi kwa kukariri toka kwa dada zako pole sana, sitaki shobo.We kijuso una lolote,..sura huna shepu huna,..kazi kudandia mishahar ya watu,..ebu kaa chini usitualibie siku,..Gaddamit,..!!
DEAR LADIES,
Kama umechoshwa na text za majamaa huko
PM….
Kila ukijitahd kuwakataza
Hawakuelewi….
Ukimblock huyu mwingine
anakuja….
Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You itakusaidia…..
Ingia room kwako
Vua Wigi, Toa Weave,
Toa na kope bandia
Ingia Bafuni
Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
Chukua simu Piga picha Usitumie app yoyote ku edit..
Upload kama
ilivyo Iweke profile Picture yako
NOW they will see
“Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Tupo tayari kukusikilza…
Sa wew na Mimi nani shombo,..kujipea kua unafatwa fatwa wakati ata kweny screen saver aukai,labda tukitengeneze kibao cha mpapule tupate tax za museum,... Amna wakuku fata fata wewe inbox mkuu,..like serious,.. Shubamitt,..!!!??,sitaki shobo!.. Gadamit!!!??,..kwa uzuri UPI au izo carolite zinakupa confidenceHahahahhahahahaaa, unaishi kwa kukariri toka kwa dada zako pole sana, sitaki shobo.
Haa ha by Adam simbeye[emoji23]Mmmh. This week in perspective