bibliography
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 614
- 228
hawana shida na lisura mkuu wanataka papuchi
Aliyekwambia wanawake wote wanaishi maisha fake ya makope na mawigi atakua kakudanganyaDEAR LADIES,
Kama umechoshwa na text za majamaa huko
PM….
Kila ukijitahd kuwakataza
Hawakuelewi….
Ukimblock huyu mwingine
anakuja….
Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You itakusaidia…..
Ingia room kwako
Vua Wigi, Toa Weave,
Toa na kope bandia
Ingia Bafuni
Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
Chukua simu Piga picha Usitumie app yoyote ku edit..
Upload kama
ilivyo Iweke profile Picture yako
NOW they will see
“Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Tupo tayari kukusikilza…
Haha niliwamiss piaTulikumiss Heaven Sent
DEAR LADIES,
Kama umechoshwa na text za majamaa huko
PM….
Kila ukijitahd kuwakataza
Hawakuelewi….
Ukimblock huyu mwingine
anakuja….
Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You itakusaidia…..
Ingia room kwako
Vua Wigi, Toa Weave,
Toa na kope bandia
Ingia Bafuni
Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
Chukua simu Piga picha Usitumie app yoyote ku edit..
Upload kama
ilivyo Iweke profile Picture yako
NOW they will see
“Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Tupo tayari kukusikilza…
Ulikwenda wapi wewe mama mwenye kiuno chakoHaha niliwamiss pia
Haha Sitaki kucheka asubuhi yote hii bana. Nipo shoga angu na kiuno changuUlikwenda wapi wewe mama mwenye kiuno chako
Haha miss you so much!!Haha Sitaki kucheka asubuhi yote hii bana. Nipo shoga angu na kiuno changu
Mish you too kwa kweliHaha miss you so much!!
Hiko kifaa kinawafaa wenyewe, na wakitumie wao sio sisiha ha ha! kuna kifaa kinauzwa cha kutafsiri maana ya maneno anayozungumza mwanamke, ni cha muhimu sana kunununua, akisema hataki usumbufu anamaanisha, nitumie vocha ndo unitext/unicall