Tamu mpaka mwisho??? Ni nini hiyo rubii???Rubii, you fire baby
Fire fire fire fire baby
Fire oooh
(Fire fire fire fire)
Tamu mpaka mwisho
(Fire fire fire fire) baby
Ah ah, fire ooh
(Fire fire fire fire) Rubii
Fire baby (Fire fire fire fire) baby
Nikicheka sura ya kitoto
(Fire fire fire fire) baby
Rubii wewe pia haupo natural, futa hiyo mijilipustick
Alafu ishu unakuta mambo ya PM wanakuja kuyaleta public,Huu ni mfumo jike mbona STUNTER hajawahi fuatwa PM! Usawa upo wapi cc Shunie espy Heaven Sent miss chagga
Unataka kutuambia unamiss kusarandiwa,...tutakuchaji kwa ili tangazo,..!!!??Kama hapa tu wanatambua umeweka picha bandia na jina bandia bado wanakusarandia.
ha ha ha ha, hiii kaliDEAR LADIES,
Kama umechoshwa na text za majamaa huko
PM….
Kila ukijitahd kuwakataza
Hawakuelewi….
Ukimblock huyu mwingine
anakuja….
Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You itakusaidia…..
Ingia room kwako
Vua Wigi, Toa Weave,
Toa na kope bandia
Ingia Bafuni
Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
Chukua simu Piga picha Usitumie app yoyote ku edit..
Upload kama
ilivyo Iweke profile Picture yako
NOW they will see
“Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Tupo tayari kukusikilza…
okay, futa hizo lipshine
Mdogo angu kumbe zile kiss by wema sepetu nlikua nakupa zawadi, ulikua unazitupa?Sijawahi kupaka lipstick
Nipo mbona? Ulidhani nipo kibiti au?