Waje huku tupo tayari kuwasikilizaNa ambao hawana kope bandia, wananyoa, na hawajiedit ... Bado wanafuatwa kama kawaida .. Wafanyeje sasa?
Haya .. TwajiletaWaje huku tupo tayari kuwasikiliza
Hiko kifaa kinawafaa wenyewe, na wakitumie wao sio sisi
Ndio nakuita, Njoo unifungulie mlango
Mi nipo serious wee unaniektia.... Utakula vitasa dogo