Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

asante tbc kwa ufafanuzi mzuri.
ufafanuzi upi ambao ni mzuri wakati hizo ni polojo tu ,lakini wale maccm waliokuwandani bungeni tunajua ujumbe umefika na dawa imewaingia vyakutosha,then hawa tbc wote pale ni mamburula tu ndo maana wanapelekeshwa na ikumbukwe kwasasa kuna mburula mkubwa ambaye aliteuliuwa kuwa naibu waziri ambeye tbc iko chini yake sasa unaweza kuona ni watugani tulionao ktk kuongoza vyombo kama tbc.
 
N.B IKUMBUKWE KUWA HAKUNA YEYOTE ANAYEMUOGOPA TUNDU LISSU.
Si SERIKALI wala si Management ya TBC. Yeye ni mjumbe wa kawaida tu wa bunge hili kama walivyo wajumbe wengine


Kwa kutafakari hayo maneno ambayo ni sehemu ya tamko la KBC haina shaka kuwa matangazo yalikatishwa MAKUSUDI kutokana na aidha mtu aliyekuwa anazungumza au kilichokuwa kikizungumzwa.

halafu mkuu walivokata immiately tbc taifa wakaweka matangazo ya kuusapoti muungano..hii ni udhalimu uliozid wanaotufanyia watanzania
 
Bado najiuliza tena natena hivi inawezekana wanaojitoa muhanga kulipuwa au kuangamiza ving'ang'anizi kama tbc wanaweza kuwa na uhalali?

1.Mikutano ya ccm hurushwa na kwa mbwembwe muda mrefu na kwa ufafanuzi wa kina bila ujanjaujanja, za wapinzani hapana.

2. Wageni waalikwa tcb kama sio wote katika anga za siasa na wanasiasa nikutoka ccm na makada wake, wanajiachia watakavyo... Wapinzani hawana nafasi.

3. Propaganda za kuimarisha ccm na kuangamiza upinzani zinapewa nafasi kutwa kucha na tbc

4. Muda huu wa mchakato wa katiba mpya, hotuba mbalimbali zinazojirudia tbc ni za kuipromoti ccm na kuponda hoja za wote wasiyokubaliana na tbc, inafikia hata bwanamdogo makonda nayekuitumia tbc kumtusi mzee warioba ... Inaudhi na kukera sana.

Je kunahaja ya kuwa na chomba kama tbc kinachotumia kodi zetu vibaya namna hii kwa manufaa ya chama tawala ccm na ukiritimba wake?

Najiuliza tena na tena chombo kama hiki kinahitaji adhabugani?

Tunahitaji kufikia mpaka hatua ya kujirupuwa ndipo wajuwe watanzania tunaumia rohoni kodi zetu kutumiwa vibaya kuwanufaisha wezi na mafisadi ndani ya ccm.


Tbccm ni kati ya vyombo vya hovyo kabisa kwa Jamii yote ya Africa Mashariki na kati ambayo inandeshwa na Kodi za umma na inatumiwa na watawala waovu. Siku itafika jinsi ccm inavyohaha na kuogopa na kutokutaka mabadiliko, kuitumia tbc kama chombo chao cha propaganda, viongozi wa tbc wataigia ktk kundi kama wale wa Rwanda walioshiriki ktk siasa mbovu zilizozaa chuki za kisiasa na Kijamii na kuleta mifarakano na Fujo za kimbari Rwanda. Tbc hawana tofauti na vyombo vya habari vilivyochochea chuki za Rwanda. Huu ni uhovyo na umbumbumbu wa usimmizi wa suala lote la habari kwa umma.
 
halafu mkuu walivokata immiately tbc taifa wakaweka matangazo ya kuusapoti muungano..hii ni udhalimu uliozid wanaotufanyia watanzania


Ndo walipo nikera!
Eti wakaanza kutuwekea Hotuba za mzee Karume na Nyerere
na nyimbo za kinafki
 
AMA kweli SEREKALI IMESHIKWA PABAYA MPAKA WANAAMUA KUZIMA VITUO VYA KURUSHIA MATAngazo kama tbc ili tu kuwanyima watu wasipate habari na waendelee kuwa wajinga.
 
TBC kama mnadhani mlichokifanya ni uungwana basi mjue mnazidi kuharibu umaana wa hicho chombo. Mshana ajue tu kwamba hizo ni fedha za walipakodi lakini pia ajue yeye ni Mtanzania na hatafanya kazi TBC kwa muda wote na pia atakuja tu mtaani tutaonana nae.

Jangwani walifanya hivyo hivyo na Mareen Hassan Mareen anajua kilichomtokea. Ni aibu kubwa sana kwa hotuba ya Tundu Lissu kukatishwa. Acheni aseme ukweli ili mponye vidonda vilivyofichwa tangu 1964. Mtaficha mpaka lini watu wa CCM? Kumbukeni kwamba nchi hii siyo ya CCM wala mtu yeyote ni ya Mungu na Mungu ana watu, na watu ni sisi sote. Nawaasa CCM na wale wote wanaoshabikia mambo ya CCM ni vema kukaa chini mkasoma, mkaelewa, mkafanya utafiti na mkatoka na maamuzi sahihi.

Wabunge waacheni watu ambao wamejaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujenga hoja za KWELI wawaelimishe. Wabunge wa CCM acheni uhayawani-ukweli utawaumbua. Hongera Lissu, hongera Msigwa. Kuwa Prof au Dr hakumaanishi mtu ana jua sana au anajua kila kitu. Kati ya watu ambao "KITU" na hawajui "VITU" basi ni hao tunaowaita Prof na Drs. Aibu kwa hoja wanazojenga. Prof. Shivji kama ni kweli unatumika uzee wako utaishia pabaya
 
it makes no sense. hiyo hoja iliyotolewa na tbcssm haina mashiko yani ni bora wakae kimya tu.
 
Kilichotokea kwa TBC sio kitu cha ajabu, hata mashirika makubwa ya utangazaji
kama BBC na VOA huwa yanapatwa na matatizo. Na ni lazima tukumbuke hapa
Tanzania miundo mbinu sio mizuri na ni ya miaka mingi.
 
Chadema mapovu yanawatoka hahaha chama chenu kipo juu ya mawe mbwa nyie...na ndoto yenu ya mchana yakuongoza tanzania...nyie wahuni mtaishia hapo hapo mikelele na hoja za kiseng..e

Umekosa malezi ya pande mbil au mbona unatoa lugha isiyo na staha ?
 
Kilichotokea kwa TBC sio kitu cha ajabu, hata mashirika makubwa ya utangazaji
kama BBC na VOA huwa yanapatwa na matatizo. Na ni lazima tukumbuke hapa
Tanzania miundo mbinu sio mizuri na ni ya miaka mingi.


epukana na mawazo mgando ndugu !
Hivi mbona naona na wewe unaakili kama za ccm!

Siku zote hizi bungeni waliokuwa wanaongea ni watoto! Tukawasikiliza!

Leo hii mtu mzima anaongea wanatukatia mitambo ili iweje! Inakuingiaje akilini sababu kama hii iliyotolewa na tbccm?
 
Kilichotokea kwa TBC sio kitu cha ajabu, hata mashirika makubwa ya utangazaji
kama BBC na VOA huwa yanapatwa na matatizo. Na ni lazima tukumbuke hapa
Tanzania miundo mbinu sio mizuri na ni ya miaka mingi.
ManDla Jr
===>Tafuteni wa kuwadanganya,msiwafanye watanzania ni wajina kama wewe ManDla Jr au wanafikiria kwa kutumia masabuli kama wewe ManDla Jr
===>Wale jamaa zenu wanaowadanganya kuwa mkiona hali si shwari mhujumu UKAWA mnajidnaganya, Kurudi kwa Tanganyika ni kama Mvua huwezi kuizuia kunyesha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom