MWATAYAVYO NDOGOROGO
Member
- Mar 14, 2014
- 63
- 6
ufafanuzi upi ambao ni mzuri wakati hizo ni polojo tu ,lakini wale maccm waliokuwandani bungeni tunajua ujumbe umefika na dawa imewaingia vyakutosha,then hawa tbc wote pale ni mamburula tu ndo maana wanapelekeshwa na ikumbukwe kwasasa kuna mburula mkubwa ambaye aliteuliuwa kuwa naibu waziri ambeye tbc iko chini yake sasa unaweza kuona ni watugani tulionao ktk kuongoza vyombo kama tbc.asante tbc kwa ufafanuzi mzuri.