TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Jamani tunahama lini jamani ...mimi hata hamu ya kazi huku niliko sina japo ni town...sina hamu ya dar hata kidogo ...mm naenda kijijini wangenipa tu kibali nikalime jamani
 
d626f7c9736ea1f9e55da42a5c2e8771.jpg
 
SASA UNA WEZA KUPATA MKOPO WA DHARULA (NIPEBOOT) BILA KUJAZA FOMU YA MKOPO PIGA CM 0752823702 AU 0782823702 POPOTE ULIPO TANZANIA. JITULIZE NA BAYPORT
 
HABARI NJEMA BAYPORT IMESHUSHA MAKATO TENA IVO WATUMISHI WA SERIKALI POPOTE ULIPO TANZANIA PATA MKOPO WENYE RIBA NAFUU KABISA PIA TUNANUNUA NA MAPENI NA UNAWEZA KUKOPA 100,000 HADI 250,000 BILA KUJAZA FOMU YA MKOPO PIGA CM 0752823702 AU 0782823702
Hii taasisi asiyejipenda ndo akakope ni taasisi ambayo mkopo huwa hauishi na ni majizi walimu wanawalilia sana
 
Hapana niunganishe na hao wanaolia na watu mnashindwa kujua hakuna mkopo usio isha kwani mikopo yote inapita kwa afisa utumishi na yeye anaingiza kwenye sysetim tarehe ya kuanza mkopo na mwisho wa mkopo.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Ujalazimishwa kusoma kama haikuusu pita nenda zako hacha matusi inaonekana ww ni mtoto wa bibi. Habari ya kilaza inatoka wapi shida adabu yako

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Yote hiyo ni matokeo ya ujinga wako na kama una elimu basi ulikuwa mbumbumbu darasan au vyeti fake ,maswala ya baypot yanafuata nini juu wa uzi wa mwenzio tena wenye maudhui tofauti kabisa na hicho kivikoba chenu cha kitapeli?? Kwa jukwaa la biashara hujaliona !! Bado unataka uonekane una akili?? Hapana aisee wewe ni mjinga na kilazaaa.
 
Jamani tunahama lini jamani ...mimi hata hamu ya kazi huku niliko sina japo ni town...sina hamu ya dar hata kidogo ...mm naenda kijijini wangenipa tu kibali nikalime jamani
Yani hata aijulikani maana ukiwapigia simu tamisemi wanasema wanasubiri tamko la magu aruhusu Ila wanasema haitafika mwezi wa Saba hivyo ngoja tuone mwezi huu au aprili
 
Hili ni janga kubwa kuliko hata madawa ya kulevya maana swala hili linagusa wasomi tu, hawa wasomi akili yao haijawa normal kabisaaa....
 
Yote hiyo ni matokeo ya ujinga wako na kama una elimu basi ulikuwa mbumbumbu darasan au vyeti fake ,maswala ya baypot yanafuata nini juu wa uzi wa mwenzio tena wenye maudhui tofauti kabisa na hicho kivikoba chenu cha kitapeli?? Kwa jukwaa la biashara hujaliona !! Bado unataka uonekane una akili?? Hapana aisee wewe ni mjinga na kilazaaa.
Ww ukiona haikupendezi unapita kimya kimya. Sio kubwabwaja kujifanya una akiri sana heshima nikitu cha bure

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Ww ukiona haikupendezi unapita kimya kimya. Sio kubwabwaja kujifanya una akiri sana heshima nikitu cha bure

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Wewe ndiye unajikosesha heshima, kama si utapeli ni nini? Hivi wewe kwa akiri ya kawaida unaona hapa ni mahali sahihi kutangaza huo utapeli wenu? Jiheshimu, tafuta jukwaa sahihi mfn biashara ukajitangaze huko hapa wadau wanazungumzia uhamisho, ndiyo mada iliyopo mezani.
Jisahihishe.
 
Ndg sijangaza jambo la uvunjifu wa sheria ww kama huna maitaji wapo wenye maitaji

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Ww ukiona haikupendezi unapita kimya kimya. Sio kubwabwaja kujifanya una akiri sana heshima nikitu cha bure

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Ungekuwa na heshima usingeweka uharo wako kwenye uzi wa mwenzio, bali ungetafuta sehemu stahili, nahis wewe utakuwa unakunya kitandani sababu unaweza dhan hata kitanda kinaweza kuwa choo maana hujui umuhimu wa kila kitu kuwa mahali pake panapo stahili nasisitiza tena WEWE NI MJINGA.mwajili wa hicho kitaasisi chenu cha kitapeli fukuza kazi takataka hii
 
Bro ww kweli ni mwl mbona una mdomo mchafu unawafundisha nn watoto huna hata maadiri kwani sioni kilicho kujaza ww sio mmefika wa jamiiforums lakini mishipa imekusimama ile mbaya duh!

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Jaman msigombane ...wadau tuangalie lililo mbele yetu...uhamisho...huyu wa baiport mwacheni abaiportige....ila dah watu wengi wanalia kuhusu hii taasisi ...mkopo hauishi ...kazini kwetu washakuja Mara kumi..ila badilikeni .,.mnapiga sana pesa hata loan board mmewashinda...hahahaaa
 
Back
Top Bottom