TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Jaman kuna uhamisho kweli?....
Walimu wa science naona Neema km kwao imefunguliwa zaidi.

Wakuhama hatuonekani kabisaaaaa
 
Bro ww kweli ni mwl mbona una mdomo mchafu unawafundisha nn watoto huna hata maadiri kwani sioni kilicho kujaza ww sio mmefika wa jamiiforums lakini mishipa imekusimama ile mbaya duh!

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
siwezi kuwa na maneno matamu kwa mpumbavu lazima mpumbavu uende naye kipumbavu kama ilivyo akili yake ,kama huelewi matumizi ya kitu bora ukae kimya sio kujifanya mjuaji ,na unatakiwa kujua kwamba si kila anaye ongelea maswala ya walimu naye ni mwalimu na hata kama nikiwa mwalimu pia naamini wanafunzi wangu wasinge kuwa wapumbavu kama wewe hivyo nitawafundisha maadilii mema na hata wakikosa niwa waelimisha na watanielewa maana ni wanafunzi na wananihitaji kuwaelimisha , si wewe unaye jua matumiz ya kitu halafu unaenda kinyume nacho kwa makusudi unamatatizo ya akili wewe.u
 
Zawadi ya mjinga ni meno teh teh teh teh

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Niliongea na mtu wa tamisemi 2 weeks ago alisema uhamisho haujafutwa majina wanatoa wa 6 eti wa nne muda hautatisha walim kuripoti vituo vipya
 
waliokuwa wanaajiriwa mwezi wa 4 na wa 5 miaka ya nyuma tena weng zaid kuliko hizo ajira na huo uhamisho walikuwa wanawezaje kuripoti tena kwa muda mwafaka, leo hii unatwambia et tamisemi wamesema mwez wa nn muda hautoshi!!? A cha kutuzingua na tamisemi wako.
 
Huyo muongo naye ...km Hamna vyazo si mkae kimya kuliko kutafuta kiki ...ili uonekane na wewe una mbuyu tamisemi....hatusikilizi yoyote sasa hivi ...zaidi ya kusubiri miujiza ya orodha ya majina
 
Naona muda wa kumwangukia mheshimiwa rais ndio huu maana kama ni kulalamika haijasaidia kitu
 
Nasikia kuna waraka kwa wakuu wa idara wa kufuta uhamisho hata kwa barua ambazo tayari zipo Tamisemi.Hapatakuwa na uhamisho tena
 
Ni kweli ,hata kwenye ndoa hawaruhusiwi kuomba uhamisho wa kumfuata mwenzi wake labda wawe wanafanya kazi idara moja ,Umezidi kubainisha waraka hyo uliotumwa kwa wakuu wa Idara wiki iliyopita
 
Wewe umeuona huo waraka?mbona mimi sijaona huku kazini kwangu
 
Ni kweli ,hata kwenye ndoa hawaruhusiwi kuomba uhamisho wa kumfuata mwenzi wake labda wawe wanafanya kazi idara moja ,Umezidi kubainisha waraka hyo uliotumwa kwa wakuu wa Idara wiki iliyopita

we jamaa umetumwa kunyong'onyesha roho za watumishi... eb kaa kimya huko,, huo walaka upo kazini kwako tu??
 
Teeh ,na Mimi ni Mwthirika wa huu Uhamisho kwa hiyo hzo ni Updates ninazokutana Nazo kwenye ,pitapita zangu .Naskia waraka upo lkn sijauona physically ,Kuna mtu kausoma na kunipa taarfa.Nami pia nimesononeka sana we jamaa. Nikiupàta nitaupost ili ujiridhishe pasipo shaka
 
Mbona hapa dar sijausikia jaman
 
Mbona hapa dar sijausikia jaman
Jaman nmetoka kuwasiriana sasa hivi na mtu wa tamisemi kasema mambo yatakuwa mazur mda c mrefu ila hawezi sama ni lini nyie mnaonyong'onyeza nyoyo za watu c vizur tusikilize wahucka wanasemaje
 
Back
Top Bottom