TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

Niwaheri

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,767
2,763
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.

Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.

Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?

Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.

Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
 
Saa nyingine mkitapeliwa muwe mnakaa kimya, najua kutapeliwa hata Mimi inawezekana ,ila kuweka hadharani ni kama unajishushia heshima zaidi, maana ili utapeliwe ni lazima upuuze baadhi ya vipengele kwa tapeli ili kuonesha kwamba unamwamini,mfano hamuwezi andikishiana nk,,,,, afu Tamisemi hakuna Malaika, hivyo acha kuamini watu sana kwa kigezo Cha jina la ofisi, samahani najua ujumbe wangu haukuwa kwenye matazamio ya jumbe ulizokusudia
 
Saa nyingine mkitapeliwa muwe mnakaa kimya, najua kutapeliwa hata Mimi inawezekana ,ila kuweka hadharani ni kama unajishushia heshima zaidi, maana ili utapeliwe...
Asante kiufupi watu wanahama kila siku kwa hiyo na mimi nilitaka nijaribu baada ya process zote kufeli kama utaratibu inavyotaka, ko nimepigwa kama wengine
 
Umemwambia ukweli

Ni kwamba anatafuta relief hana mtu wa kumlilia/ machozi yake yenda na maji

Ila mbaya sana kumtapeli mtu mwenye matatizo ,mwisho wake sio mzuri
Yaani ukiwa hauna connection nayo ni shida najuta kwenye ukoo mi ndo wa kwanza kumaliza kusoma soma
 
Shida gani hizo mama na unataka kuhama kutoka wapi kwenda wapi ili tukusaidie
 
Ni aibu
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.

Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.

Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?

Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.

Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
Ni aibu nchi inakiwa na kamfumo ndani ya mfumo kiasi ata watumishi wa umma wanatapeliwa sasa inakuwaje kwa raia haya mambo..
 
Ndo hivo ndugu yangu wanasema mkono mtupu hailambwi wanajivuta vuta kwa makusudi ili waendeleee kulamba asali
 
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.

Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.

Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?

Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.

Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
Kijana majina ya uhamisho yanatarajia kutoka march 2024. Inasubiriwa ajira za kada za ualimu na afya zitangazwe ili ibalance ikama maana sio wote wanaohama kwa kubadilishina wengine wanaohama kwa dharura maalum. Fanya subra .
 
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.

Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.

Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?

Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.

Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
Njoo nikuelekeze Kwa mganga wangu chapu unahamishwa.
 
Ukifanikiwa TU kwenye biashara hawachelewi kukuhamisha ili uharibikiwe,wanapenda MTU awe masikini alipo ili wafurahie
Ukifanikiwa TU kwenye biashara hawachelewi kukuhamisha ili uharibikiwe,wanapenda MTU awe masikini alipo ili d

Malaika wako wa riziki siku hakihama wala haupati tabu utashangaa uhamisho huo

Elimu yetu ina shida kubwa sana kwasababu kila mtu haaamini kama anaweza kufanikiwa bila kutoa rushwa.
Hata sio elimu sema system imekaa hivo,
 
Back
Top Bottom