TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Natanguliza shukrani kwa swali hapo juu?
Hakuna hiyo kitu aisee nasikia hadi tamko litakapo tolewa tena maana saizi bado kuna mambo ya uhakiki watumish halali wa umma hapo tamisemi.
 
Ingekuwa hivyo c wangekuwa wametoa tayari!!? ona sasa wiki ya pili lakini kimya maana yake ni kwamba pengine nao umeshikiliwa mpaka uhakiki uishe.

ila du! tunateskeka sana kisaikolojia esp waliouza vitu tayari cjui wanahari gani.
Majina huwa hanatoka july tarehe za kati, be patient
 
Habarini waungwana,
Naomba kuuliza je TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Natanguliza shukrani kwa swali hapo juu
Mmeambiwa msubiri kwa mwezi mmoja au miwili kwanza watumishi hewa watolewe hivyo subiri hadi August!
 
Uhamisho uliositishwa sio huu wa tamisemi, umesitishwa wa watumishi wanaohama kwa kupandishiwa cheo....
uhamisho uliositishwa ni pamoja na huu wa tamisemi coz nimeenda halmashauri kupeleka barua yangu ya uhamisho wahusika wamekataa kuipokea wameniambia uhamisho umesitishwa mpaka mwezi wa tisa.
 
Back
Top Bottom