TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Jaman nmetoka kuwasiriana sasa hivi na mtu wa tamisemi kasema mambo yatakuwa mazur mda c mrefu ila hawezi sama ni lini nyie mnaonyong'onyeza nyoyo za watu c vizur tusikilize wahucka wanasemaje

Hata kama hii taarifa c ya kweli lakini angalau inatia matumain kuliko wale wanaokuja na taarifa za uongo zenye sumu mioyoni mwa watumishi
 
Jaman nmetoka kuwasiriana sasa hivi na mtu wa tamisemi kasema mambo yatakuwa mazur mda c mrefu ila hawezi sama ni lini nyie mnaonyong'onyeza nyoyo za watu c vizur tusikilize wahucka wanasemaje
Dah ...mungu tunaomba utuguse ...tuguse kwa mkono wako baba...peke yetu hatuwezi ...
 
Jaman nmetoka kuwasiriana sasa hivi na mtu wa tamisemi kasema mambo yatakuwa mazur mda c mrefu ila hawezi sama ni lini nyie mnaonyong'onyeza nyoyo za watu c vizur tusikilize wahucka wanasemaje
Wewe nawe ni sawa tu na waongo wengine
 
Jamani wadau hivi hii serikali ina mpango gani na ndoa zetu maana sielewi. Huu ni unyanyasaji wa kiwango cha juu maana kama ni uhakiki umeshaisha lakini mpaka sasa hawataki kutoa uhamisho. Kama ni uvumilivu kwakweli tumevumilia mno. Tukisema serikali haipendi watumishi wake tutakuwa tunakosea maana hii sasa imezidi.
 
Jamani huu sio wakati wa kulalamika ...njooni na habari mpya..hayo yanajulikana ....taarifa tunaykitaka tuambiwe vibali out
 
Watumishi namba tutaisoma maana watetezi, wasomi na wanasiasa wote wapo kwenye mambo ya udaku maswala ya msingi wameyaacha, hii ndio Tanzania kila MTU anaubinafsi
 
Vibali vimetoka labda wewe!na Jana umesikia naibu wazir wa tamisemi alichokisema maafisa elimu wa mikoa na wilaya anawapa cku 30 pesa za uhamisho zilipwe kwa walimu waliohsmishwa mwez wa 2mpaka 3
 
Kuna habari ambazo zinazagaa kwamba uhamisho umefunguliwa rasmi na walioomba wote majina yao yatatoka hivi karibuni, tuvumilie tutahama.
 
Aisee muwe mnasema ukweli jaman watu tuna machungu humu ukipata taarifa za keel weka na cyo maswala ya siasa za mitandaoni please,,,,ila tutafika tu
 
Back
Top Bottom