piuskaitila
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 146
- 59
Wewe na nawe upo timamu kweli,acha kutuchanganya na ma mikopo yenu ya riba asilimia 300,tunajadiri mambo ya msingi wewe unatutoa nje ya madaChangamkia mkopo ewe mtumishi ujijenge kiuchumi Bayport ipo kukuhudumia popote ulipo tanzania utapata mkopo wenye riba nafuu sana. Nipo kuhudumia popote ulipo
Achana nae huyo...aende akawatafute wanaoanza kazi Leo...humu watu tuna miaka kumi vituo vya kazi hawezi kutupata anatupotezea muda ..watu tuna stress za uhamishoWewe na nawe upo timamu kweli,acha kutuchanganya na ma mikopo yenu ya riba asilimia 300,tunajadiri mambo ya msingi wewe unatutoa nje ya mada
Tupe uthibitisho kwamba mwezi wa tatu watatoa majina.Mwezi wa tatu wanatoa majina hayo
Mungu tunakuomba uipe serikari huruma ,wawahurumie walio omba uhamisho kwani wapo kwenye wakati mgumu, mungu ibaliki Tanzania na watumishi wake
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
Mbona kuna thread inayosema wanasambaza waraka wa kutoruhusu uhamisho?Mimi kwa taarifa rasmi nlizoskia wataanza kuachia majina march. Maana zoez la uhakiki i lilikua bado so majina na kuruhusu kuomba uhamisho wataruhusu frm march au april.
Unataka majibu gani? Majibu si ndio hayo mliyotumiwa? HAKUNA UHAMISHO. OverKuna barua zinasambazwa kila shule hapa mkoani IRINGA, zikidaiwa kutoka tamisemi na zinaeleza kuwa uhamisho umesitishwa mpaka itakapotangazwa tenaa, HATA HIVYO HAIELEZI HATIMA YA WATU AMBAO TULISHAOMBA UHAMISHO KABLA YA BARUA HII. Niwaombe wahusika, tunajua lengo ni kuwakomoa watumishi wa umma, sasa TOENI TAMKO LA WATU AMBAO BARUA ZAO ZIPO UTUMISHI . Ubabe huu hautatufika popote.