Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,481
- 5,057
ilinibidi nicheke tuuuInawaka waka Chato ai mama , inapendeza Chato ai mama jua lile literemke mama ...![]()
ilinibidi nicheke tuuuInawaka waka Chato ai mama , inapendeza Chato ai mama jua lile literemke mama ...![]()
Kwa nini na we we mwnaufipani ukubali kukopa hela za wanalumumba??. Ludisheni hela zetu na wengine tukope.Kwa hiyo mmeanzisha utaratibu usio rasmi wa kukopeshana hela za Serikali hapo Lumumba! Au unamaanisha nini!!