Tambua siri ya 'kismati' ambayo wengi tunakosa

hil swala n kwel kabsa sema cc tumezmwa taa za akil kwa kujfanya tunaelimu mfano wahind bila kuangalia nyota yake eneo au mji anaoenda mfanyakaz atakae fanya mae kaz hafanyi maamuz yoyote ndio mana kuna mwanamke ukioa tu unaflska kaz unafukuzwa maisha yanakua hovyo na kuna mwanamke ukioa au ukiwa nae kunakua na wepes katka mzunguko wa maisha yako
 
Baya maisha ya usiri mkubwa.

binadamu tulivyo kuna vitu vinaweza kutufanya kuwa tofauti sana.

Kipindi fulani nilikuwa na jiuliza sana ukikutana na mzungu hata kama unatakiwa kuajiliwa anakuuliza jina la mama yako na la kwako. Ukiona kakupotezea tambua kisamrt una.

Kwenye swala la mahusiano nalo lipo hivo usije kukurupuka

Kwenye marafiki nao wakuwaangalia

Wsmart wa watu unasaidia kuendana na nyota yako na yake.

Mfano nyota yako moto alafu yake ni simba hapo usmart utakuwepo.

Sio nyota yako moto alafu yake maji au upepo .basi kila jambo kila lolote hakuna.

Maeneo ya kazi, makazi, biashara kama hilo eneo aliendani na nyota yako ni kazi bure. Ndio maana unashangaa jamaa alitoka A kwenda Z sasa ni tajiri au mfanyabiashara mkubwa.

Mnafahamu hata mbaraka sheba wimbo wake mtaa wa saba.

Kimsati ni nyota wengine uzaliwa nazo na wengine utafuta pale panapotakiwa kuwepo. Watu wengi wanashidwa kupata kismart kwa haya:
  • Umalaya
  • Maeneo walipo shindwa kutoboa
  • Rafiki au mpenzi ambao nyota zao zinapingana na wewe

ukitaka kuwa na kismart kwanza tambua nyota yako inataka nini na watu wagani wa kuwa nao,maisha gani,biashara gani,maeneo gani,mpenzi gani na n.k

usije siku kulalamika hoo mimi sina bahati
Hi Ni kweli Kuna madem ukidate nao lzm life lako litakua mikosi tu
 
Imani mfu hizi
Ritoto la magufuli hili bila shaka!! taaangu libaba yako litoke ni neema tupu!!...na Mama kapata tuzo...rakini renyewe harikupewa!!......NCHI Iriingiia taharuki, watu kutekwa hovyo, hera hakuna, majambazi hakuna,

wachawi /vibaraka /wazengeaji km rire rikuu la mukoa wa dsm makonda wakawa weengi make ndo walipendwa tu!!
 
Back
Top Bottom