Tambua siri ya 'kismati' ambayo wengi tunakosa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Baya maisha ya usiri mkubwa.

binadamu tulivyo kuna vitu vinaweza kutufanya kuwa tofauti sana.

Kipindi fulani nilikuwa na jiuliza sana ukikutana na mzungu hata kama unatakiwa kuajiliwa anakuuliza jina la mama yako na la kwako. Ukiona kakupotezea tambua kisamrt una.

Kwenye swala la mahusiano nalo lipo hivo usije kukurupuka

Kwenye marafiki nao wakuwaangalia

Wsmart wa watu unasaidia kuendana na nyota yako na yake.

Mfano nyota yako moto alafu yake ni simba hapo usmart utakuwepo.

Sio nyota yako moto alafu yake maji au upepo .basi kila jambo kila lolote hakuna.

Maeneo ya kazi, makazi, biashara kama hilo eneo aliendani na nyota yako ni kazi bure. Ndio maana unashangaa jamaa alitoka A kwenda Z sasa ni tajiri au mfanyabiashara mkubwa.

Mnafahamu hata mbaraka sheba wimbo wake mtaa wa saba.

Kimsati ni nyota wengine uzaliwa nazo na wengine utafuta pale panapotakiwa kuwepo. Watu wengi wanashidwa kupata kismart kwa haya:
  • Umalaya
  • Maeneo walipo shindwa kutoboa
  • Rafiki au mpenzi ambao nyota zao zinapingana na wewe

ukitaka kuwa na kismart kwanza tambua nyota yako inataka nini na watu wagani wa kuwa nao,maisha gani,biashara gani,maeneo gani,mpenzi gani na n.k

usije siku kulalamika hoo mimi sina bahati
 
Duh siamini kwenye mambo ya nyota nk. Tufanye kazi kwa bidii mafanikio yatakuja tu, siyo unasema una kismat afu umelala ndani utegemee utatoboa nope, pambana ya hela yote.

kismart ni nyota.
kama ufatilii sawa.
kuna watu nyota zao mfano wengine wakifanya biashara fulani inakubali ila jaribu ambayo sio biashara ambayo kismart
 
jamani hakuna dawa hapa wala biashara.maisha yan fumula ndio maana watoa fumula kuwa tunatakiwa tuishi vipi !.usishangae watu kutumia biashara
 
Back
Top Bottom