YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Asilimia 80 ya madawa yote ya kulevya duniani kwa mujibu wa shirika la umoja wa mataifa la kupambana na dawa za kulevya huzalishwa Afghanstan
Taleban chini ya Osama ndio maana waliamua kuiteka Afghanstan ili kumiliki uzalishaji wote wa Drugs na wakawa ndio wasambazaji wakubwa duniani na pesa wanazopata ndizo hutumika kununua silaha KUVAMIA MAENEO MENGINE ya kufungua vituo vipya vya kusambazia madawa yao ya kulevya.Ndio maana pia walivamia Somalia na kuanzisha tawi lao pale la Alshabab ili wamiliki biashara ya Mirungi Somalia ambayo ndie mzalishaji mkubwa wa Mirungi na kushililia bandari ya Kisimayu ambayo walikuwa wakiitumia kuleta madawa yao soko la Africa na kubeba mirungi kupeleka masoko ya Ulaya
Kupanua vituo vyao vya kusambaza madawa yao hasa nchi za kusini na mashariki mwa Africa ndipo waliamua kuvamia msumbiji majimbo ya CABO DELGADO nk yaliyo pwani na kuiteka na kuweka vituo vyao pale vya kupeleka madawa Africa Mashariki na Africa Kusini.Wengi wetu mashahidi JWTZ walikamata tani tatu za madawa ya kulevya pwani yetu yale yalikuwa yakienda msumbiji kwenye ma godown yao naona bahari ilichafuka wakajikuta pwani yetu wakadakwa.
Kuvamia Msumbiji kulikuja baada ya juhudi zao za kutaka kuteka pemba na Unguja waweke makazi yao kupitia siasa kali za kidini na kupitia upinzani kushindikana wakajaribu na Tanzania BARA Mkuranga,kibiti na Rufiji NA Mtwara kwenye bandari ikashindikana ndio wakaamua kuvamia Msumbiji kufungua kituo chao cha usambazaji madawa ya kulevya ndio maana unakuta tani kibao zilidakwa ziliztoka kwao huko kuletwa kwenye dola yao waliyovamia Msumbiji
Kutimuliwa kwao Msumbiji ni ushindi mnono kwenye vita dhidi ya dawa za kulevya za Taleban kuingia Africa Mashariki na Africa ya kusini