TALA wala rungu la TRA

TALA wala rungu la TRA

Ukisha uniinstall app yao wanakuwa hawana namna yoyote ya kukutrack.

Sent using my Nokia Torch
 
TALA wananidai 40,8000/= Nilikopa 380,000=/
BRANCH 240,000 Nilikopa 160,000/=

Nilianza na elf 20 kwenye Makampuni yote hayo. Sasa ikafika wakati miezi 3 kiasi hakiongezwi, nikawaandikia SMS kuwa sitalipa Deni hilo. Wao TALA walijibu wataongeza mwezi unaofuata...

Kwa kweli miezi miwili sasa sijalipa,kilichobaki wananitumia SMS kwamba tunajua hali ngumu hivyo wameniongezea siku 14.

Kwa hiyo wafungwa watarajiwa tupo wengi huku,ijapo Mimi kunipata mpka nije likizo Bongo, ok majamaa tutakutana SEGEREA HUKO WAKITUSHITAKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuliogoma kulip mideni yao ilojaa riba chukizi tujuane.... Hii habari nzr km inaukwl lkn... Looh watatext Mpkwachoke.. Tz kila mtu kapinda kivyake hawakusom alama nyakati hz za mfarakano wa uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wtabaki na namba tu...hapo ndo wataweza kkpigia na kkutumia text....ila kama una app yao kwenye sim....kumbuka kutowasha location(gps)....maana n sekunde tu wtajua ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeuza simu...kitambulisho kimepotea na namba za simu pia nimetupa line....watanipata wapi ....hawawezi kunipa mkopo mdogo wakati mi nalipa pesa kubwa huo ni wizi nasema kampuni ifutwe kabisa.....

Hii tabia wanayo Airtel timiza unakopa elfu 23 unaambiwa urejeshe 30 baada ya wiki tatu ukirejesha unakopeshwa 31500 ...na wao niliwapigia nikagombezana nao siwalipi ng'ooooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom