TALA wala rungu la TRA

TALA wala rungu la TRA

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
jamani TALA ndiyo nini mimi siijui msinicheke
 
Mdaiwa hafungwi,
Kwa jinsi nilivyoelewa hapa Wanachokosea hawa TALA ni kuleta vitisho naona. Wangekua wanapiga simu labda wanakuuliza kistaarabu umekwama wapi, na una mpango upi wa kurudisha ingewasaidia zaidi kukusanya madeni. Lakini vitisho vyao vimekua kero
Utasikia et wana rb, Mara wanakuweka kwenye magazeti, nikajua hawa wasanii tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tena
1552739677312.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom