wanakopesha bila shida ila ukumbuke kulipaBado wanakopesha? Ngoja niwahi nikope
Naona suluhu ni kulipa deniKwani mkuu huwezi kubadilisha laini..
Hongera yako.
Mkuu nimecheka kweli. Yani hata mimi hapa full kunitishaa aiseeDuh ndio maana eanashinda kutwa nzima wananitumia. Visms vya kunitisha maana nilikopa sjamaliza deni. Ndo. Wanataka walipe faini wakat wenyewe kumbe hawapo kiharari imekula kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipie na mimi basijahahaa.mna guts gan kukopa hizo instutions jaman hahaha...mie bora nibak kapuku hvhv..sipend kero..kuna kidogo changu nacho kilikopa bas kilikua kinanistress balaa...oh wamesema wana rb hahaha ikabid nimlipie...!mie sitak kbs
natoa maji kisiman ehh napeleka baharn
Mi ndugu yako ujue huoni hayo ma attachment ya Meseji yanavyotishanatoa maji kisiman ehh napeleka baharn
Hapa sijakuelewa mkuu fafanua zaidiwalikuwa wana tumia .com sio .tz kwa kusaidia na google
ndo maana google inakula hasara kwa waleta maendeleo
Hahaha hahaha hahaha hahaha umevurugwa sanainatakiwa mnishukuru na kunipa pongezi mimi hapa ndo nimewachongea kwenye taasisi maana walikua wananisumbua sana
hapo ndo namimi waliponiuz. Unakopa hawaongez kiwango wizi mtupuAfadhali nilikopa Mara tano mfululizo nalipa muda sahihi hawaniongezei kiwango nikasema silipi tena Deni Lao.
Sio lazima kila kitu ukijue apa Dunianijamani TALA ndiyo nini mimi siijui msinicheke
kaka tuna ugomvi na wewe au? kuuliza siyo ujinga na siyo kila kitu nauliza leo tu nimeuliza hii kituSio lazima kila kitu ukijue apa Duniani
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app