sawee225
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 3,225
- 12,118
Wakuu nataka niwalipe TALA ila sio kwamba nina ela...ela niliyonayo hainitoshi kwa arakati zango so nataka niwalipe ili nikope kiasi cha juu zaidi nikamilishe mambo yangu...vipi itawezekana kweli maana ni takribani miezi mitano tangu niwakope na sijawai walipa....wamenipiga bit mpaka wamechoka sijui ndo nitawalipa wanitelekeze njiani kama na mimi nilivowatelekeza...mwenye uzoefu na ili anipe ushauri tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app