luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,984
HahAhaha kumbe ndio vitisho vyao ivyoooMambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app
HahAhaha kumbe ndio vitisho vyao ivyoooMambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu na mimi wamenitumia hiyo msg, wameniambia wana RB yangu
Shukrani ya Punda ndio hii sasaNaona Tala imewasaidia wengi humu ndani..Saivi mnabaki kuichongea tena
TRA ilimaanisha TRA au TCRANiliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole aisee, mimi kwa meseji kama hii naona ningezimia kabisa[emoji23]Mambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenitumia sms et nimebaki peke yangu ninaye daiwa hivyo watanianika kwenye tovuti na kwenye magazeti...na subiri show.. na hatimaye wame anikwa wao [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitisho tuMambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz sisi ni wakopajiAisee kumbe watu wengi humu mmekopa TALA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bai bai mikopo chonganishi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30]Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaodaiwa naona mlivyofurahiDuh ndio maana eanashinda kutwa nzima wananitumia. Visms vya kunitisha maana nilikopa sjamaliza deni. Ndo. Wanataka walipe faini wakat wenyewe kumbe hawapo kiharari imekula kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
inatakiwa mnishukuru na kunipa pongezi mimi hapa ndo nimewachongea kwenye taasisi maana walikua wananisumbua sana
Naona Tala imewasaidia wengi humu ndani..Saivi mnabaki kuichongea tena
Wahi fasta mkuu kajilipe ha ha ha ha haNgoja na Mimi niwakope aisee,haiwezekani hii bahati inipite hivi
Bongo yenyewe isivyo na adress watatupata wapi ha ha ha ha ha ha nazani walikua hawawajui wabongo kuna watu wamekopa airtel huko hadi laki tatu na wamekimbiaMambo ya TALA haya.. kwa hali hii ya magu watu hatuogopi vitisho tenaView attachment 1050957
Sent using Jamii Forums mobile app