TALA wala rungu la TRA

walikuwa wana tumia .com sio .tz kwa kusaidia na google
ndo maana google inakula hasara kwa waleta maendeleo
Vp nikitaka mkopo leo Tala, kwa waliojaribu kukopa maana akina sis familia haziend bila kukopa

Nokia Obama
 
Mdaiwa hafungwi,
Kwa jinsi nilivyoelewa hapa Wanachokosea hawa TALA ni kuleta vitisho naona. Wangekua wanapiga simu labda wanakuuliza kistaarabu umekwama wapi, na una mpango upi wa kurudisha ingewasaidia zaidi kukusanya madeni. Lakini vitisho vyao vimekua kero
Bila vtisho halipi mtu wew, hap kaz tu

Nokia Obama
 
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
TALA ndio nini hasa? na wanashughulika na nini hasa?
 
nafikiri moja ya founders wa hii kampuni alikuwa polisi,maana si kwa vitisho hivi vya kihuni na kitapeli,kila dakika sms mbili mbili yani kama ulikuwa unasubiria muamala uingie kwenye Mpesa unaweza ukatupa kule balimi na kumuita mhudumu akuletee henken ,kumbe ni hawa matapeli.
 
Mi nilkopa nikafuta app yao Sent using Jamii Forums mobile app
una bahati maana hawakupi Mkopo mpaka umeweka Kitambulisho chako cha mpiga Kura na uwe Facebook wakuone
Ukipewa nishtue na mim, kizur kula na nduguyo kasoro sumu tu Nokia Obama
Usijali ndugu yangu nitakushirikisha....
mimi juzi tu 25/March/ wamenipa ingawa nilichelewesha rejesho kwani nililipa nusu mara mbili
Duh wakaniambia niwe naingia Facebook wanione,
sema tatizo Riba ni kubwa yaani unacheza na hela yao tu na huvuki laki 3
Mtanishtua ndani ya mwezi huu nicheleweshecheleshe huenda TRA wamewabana km 3 MZUKA
 
una bahati maana hawakupi Mkopo mpaka umeweka Kitambulisho chako cha mpiga Kura na uwe Facebook wakuone

mimi juzi tu 25/March/ wamenipa ingawa nilichelewesha rejesho kwani nililipa nusu mara mbili
Duh wakaniambia niwe naingia Facebook wanione,
sema tatizo Riba ni kubwa yaani unacheza na hela yao tu na huvuki laki 3
Mtanishtua ndani ya mwezi huu nicheleweshecheleshe huenda TRA wamewabana km 3 MZUKA
Ahahaa Facebook tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom