Tajirika na Ngabu

Hii simple chumbia Swanga au Kigoma utaona nguvu ya limbwata.
 
Hii ni deal la hasara nitatimia costs zangu kukusafirisha kwa ungo hadi makaburini usiku huu halafu wakikuzika pesa yangu nitaopataje?
 
Hii ni deal la hasara nitatimia costs zangu kukusafirisha kwa ungo hadi makaburini usiku huu halafu wakikuzika pesa yangu nitaopataje?

Tutatafuta mtu ambaye hana udau katika ishu nzima i.e. mwanasheria, afisa mtendaji wa kata, au mtu yeyote tu atakayekubalika kwako na mimi halafu nitamkabidhi hizo pesa na kupitia vigezo na masharti kwa pamoja ili tukubaliane modalities.

Deal or no deal?
 
Sianzi na "bullshit!"
Uchawi upo, ni "powers of darkness", au nguvu za giza!.
Kama ilivyo formular ya powers zote "from within" zinaweza ku act, only kwa "anae amini!".

Kila binadamu ana "powers" ndani yake!, ile kitendo tuu cha kuamini kuwa "uchawi haupo!", ni kinga tosha ambapo wewe kwa kutumia powers zako, umeushield mwili wako hivyo huwezi kulogeka!.

Kitendo tuu cha kuweza kuushield mwili wako, hicho tuu ni proof "you have the powers", huvyo sasa unaweza kuzielekeza powers hizo katika maeneo mengine "more productive" kuliko hilo la kuzuia "usilogeke" kwa sababu kama hakuna mtu anaekuloga, hizo nguvu lies in a waste!.

Mimi pia ni naamini uchawi upo, ila nami pia silogeki kwa sababu nimeudissmiss uchawi siku nyingi!, ila hizo powers sasa nimezielekeza kwemye maeneo mengine, ikiwemo kusema "no" to malaria" mwaka huu wa 2013, naelekea miaka 13 bili kuugua "malaria!". Pia nimefanikiwa kuivoke hiyo kinga kwa family members wangu wakiwemo watoto wangu 6!, ncluding wadogo wawili wa mwisho!, nyumba yetu ni "malaria free zone!".

Not only that!, "mimi ni miongoni mwa wale "dhaifu" wa "mambo flani!" sometimes "napitwa" sometimes "sipitwi!", sasa inapotokea "sipitwi!", sometimes "natumia!", na sometimes "situmii!", inapotokea "situmii", kuna uwezekano hao ambao "sijatumia" nao, wengine ni "tayari!" wengine ni "bado!", ikitokea "sijapitwa!" kwa mtu ambaye "ni tayari!", na ikatokea "sijavaa!", nitajiputia zangu "kanyaga twende!", na nitajiendelea zangu na safari zangu "salama uu salmini!".
Hivyo kuzielekeza hizo "powers" kuwa hata "nikikanyaha umeme!, siwezi kunaswa!, nitarushwa tuu!".
Just take it, if not "bullshit!", if its another "bullshit!", tuachie tukalimie mchicha tujilie!.
Pasco

Kwa wengine wenye kupenda kujua kuhusu uchawi, mnaweza kutembelea


  1. [h=3]Proof of Witchcraft: Really Works [/h]


  2. [h=3]The Real Evidence Witchcraft Exists [/h]
  3. The Quick 10: 10 Ways to Identify a Witch | Mental Floss

  4. II. Defining “Witchcraft” and the Evidence of Witchcraft from History

  5. Witches are Real

  6. [h=3]Witchcraft and Evidence in Early Modern Tanzania - Past & Present[/h][FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif][FONT=arial, sans-serif]
    [/FONT]
    [/FONT]
 
sema unataka nikorogeje uwe unatembea unakata vionu au nikushushe busha
 
Huwezi kupatiwa kabla ya kumaliza kazi maana naweza kukupa halafu ukaingia mitini.

Kama unaweza wewe fanya mambo bana.


Mkaandikishiane kabisa
Maana Utakuwa umekufa nani atampatia pesa yake

Bazazi
 
Nitakubadili jinsia kwa muda wa wiki moja, natafuta mwanasheria kwanza wa kuzikamata kabisa hizo pesa..

Ukimbadili jinsia naomba please uniazime kwa hiyo wiki moja. With your permission of course NN.
 
Sometimes I wonder goes in in your mind NN. teh teh teh.
 

We umesha rogwa. Nikikuroga tena uta-overdose.
 
mkuu achana na mambo ya kurogwa..uchawi UPO vitabu vyote vya dini vinaonesha hivyo....
 
ushawah kutembea kwa makalio?? Endelea tu kuni"dipu"
 
Ni inbox jina lako kamili na la mama yako mzazi, ila nikipiga kitu ujue hakichomoki hadi hivyo vijisenti viingie kwa account!!
 
Nyani ngabu ngoja wadada wa humu wakupige kipapai urudi tanzania then anakumalizia na limbwata utakua unakaa tu home!!hayo mambo yapo sema inakua ngumu ku prove because yapo beyond human conciousness hadi vitabu vya dini imeyazungumza
 
mie ningekuroga tatizo utakuwa hoi hadi ushindwe kuntumia hayo mahela. nimehairisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…