Taja Watu Maarufu Humu JamiiForums

Naomba Unitajie Watu Maarufu Unao Wafahamu Humu Jamiiforum.
Kuna Watu Maarufu Sana Wanafahamika Humu JF Kwa Ku,comments% Post Za Watu Hemu Nitajie Mtu Hata Mmoja Unae mjua !!!


Majambazi, Kikwete, Mkapa, Chenge
Vibaraka.....Zitto, Lissu, Lema, Mdee
Wachapakazi....Rais Magufuli, Waziri Mkuu Majaliwa, Makamu wa Rais Mh. Mama Suluhu, mawaziri wachapakazi kina Jaffo, Mh. Ummy Mwalimu, Mh. Mwijage, Mh. Kigwangalla, na wengineo wachapakazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom