Simba ni brand kubwa sana

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,904
4,980
Ukitaka kujua hilo fungua threads zote zilizotumwa kwa muda wa mwezi mmoja tu humu katika jukwaa la michezo, utaona maandiko yanayoizungumzia Simba ni zaidi ya 80%.

Ziwe post hasi au chanya.

Watu wa Yanga walioko humu jukwaani na wanafahamika, siku zote huwaza waandike nini kuhusu Simba.

Hawana habari na Yanga. Simba ndiyo habari inayouza.

Nenda ktk social media kama FaceBook, huwezi kumkuta shabiki wa Simba katka group za Yanga lakini katika magroup ya Simba jamaa ndiyo wamejaa mle.

Unajiuliza,kwa shabiki anaejitambua unajiunga na group za mpinzani wako kufanya nini?

Una akili wewe?

NB: Simba imekua kama maji usipoyanywa, utayaoga nk
 
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi mapinduzi cup akiwa anahojiwa na vyombo vya habari anasema Baada ya mechi ya Simba vs Singida kumalizika, Kamati walijaribu kupitia marejeo ya tukio la Kona ya utata iliyo zaa goli na walibaini haikustahili kuwa Kona.

Akamalizia kwa kusema yaliyotokea ni makosa ya kibinadamu.
 
Huyo mwenyekiti wa kamati alitoa maoni yeyote kuhusu penati ya Kagere na swala la mpira kuchezwa zaidi ya dakika zilizoongezwa?

Kwasababu malalamiko ya wengi yalijikita huko.

Ishu ya kona ni controversial hata mimi nikiangalia ule mpira aliopiga Saido sikuona nafasi ya Kigili kuugusa ule mpira.

Lakini pia namimi ni binadamu naweza nikawa nimeona isivyo sahihi na Azam ambao walikuwa wakutusaidia ndio wana Camera ambazo hazina vision ang'avu kwenye matukio kama hayo.
 
Sawa baada ya kuongelewa sana humu ndani imeenda kubadilisha nn kwenye performance ywnu uwanjani.
Kumbukeni mapinduzi si kipimo cha nyny kuniona mmebadilika.

Ngoja NBC iendelee ndo mtaona hamuoni

Ni mhahooooo
 
Tunazidi kuwa juuu juu kileleni...
 
Yani eti na wa yanga wamefollow Simba kule watsup status kazi yao ni kuweka hivi vi emoj
😂 na 🥲
Yani karibia tunagonga 1m followers kule...
Simba ni kubwa jamani...
 
Back
Top Bottom