Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Tanzania kuna biashara moja nzuri sana, serikali ikikupa kibali cha kuweka jela wa wanaodaiwa.

Madeni yatapunguwa, watu watalipiana na mwenye jela atafanya faida. Mpango wa Kiislam huo, raha sana.

Ushahidi wa kudaiwa ukiwepo unawekwa ndani mpaka deni lishe. Sasa huko ndani ni lazima ujinunulie chakula na mahitaji yako yote.

Mradi inajulikana upo jela sasa ndugu wawache michango ya harusi wawalipie jamaa zao kwanza watoke jela.

Inasaidia sana watu kurudisha madeni yao.
Umekunywa pombe ya ngomani au masela wamekuvutisha sigara bwege?

Umeandika utumbo uliooza.
 
Tanzania kuna biashara moja nzuri sana, serikali ikikupa kibali cha kuweka jela kwa wanaodaiwa.

Madeni yatapunguwa, watu watalipiana na mwenye jela atafanya faida. Mpango wa Kiislam huo, raha sana.

Ushahidi wa kudaiwa ukiwepo unawekwa ndani mpaka deni lishe. Sasa huko ndani ni lazima ujinunulie chakula na mahitaji yako yote.

Mradi inajulikana upo jela sasa ndugu wawache michango ya harusi wawalipie jamaa zao madeni kwanza watoke jela.

Inasaidia sana watu kurudisha madeni yao.
Mfumo mbaya sana huo, uishie huko huko.
 
Vibaya sana mkuu, yaani niliacha kukopesha zamani sana
Ukiomba nikukope 1m nakupa 10% tu ya bure halafu kaombe kwingine na asirudishe iwe kama sadaka

Hapo sina uadui na mtu tena ila mkopo hapana
Kuna watu Hawa elewi pesa Ina Jenga uadui.
👉Mkopo ni mzuri mtu aki Elewa misingi yake, ila wengi tuna weka ujamaa na mazoea.
 
Nadaiwa mpaka sioni cha ajab kuhusu madeni.

Yan kifupi nimeanza kufanana na deni so hata siogopi..honeatly sikumbuki ni mangapi ila mengi sana.

Kumudu kudaiwa ni kipaji sana. Sema tu hakikisha una afya, hii carreer haihitaji wagonjwa wagonjwa kama presha, moyo na kisukari..utakufa siku si zako
Pole sana mkuu
 
1.Tsh 310,000/= bado miezi 8
2.Tsh 200,000/= bado miezi 4
3.Tsh 125,000/= bado mwezi mmoja
4.Tsh 100,000/= bado miezi 6
5.Tsh 1.8m hii sijajua nalipaje ila nadaiwa
6.Tsh 3.5m kila mwezi napunguza Tsh 150k
Nimekua mpole maana kila pesa ninayopata 90% inalipa madeni 10% ndio yangu ya kuishi.

God is good!
Kwa mwezi M inalipa maden, wew ni don,
Soon utakomboka na hicho kifungo
 
Back
Top Bottom