Nilikuwa na madeni sana , mpaka iko siku nilienda kwa meneja wa benki kwenye tawi la wilaya anikopeshe elfu tano nipate hela ya nauli kurudi kituoni kwangu .
Yule mwamba alinipa elfu kumi yake huku anacheka na akasema nitaweka riba ya elfu mbili


nililipa vizuri na sasa ni rafiki yangu .
Zingatia hapo nilipata mkopo wa mwanakijiji elfu ishirini ndiyo nikaenda kuinywa mjini na huko ikaisha nikakosa hata nauli

Basi kuna hela za urithi zilijaa nikaclear madeni yote , sasa niko free hata ukinistua kwenye bus nikiwa nimelala siogopi kama zamani.
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app