Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Nashukuru Mungu mwaka nimeanza vyema

Nadaiwa kama 5M tu mpaka February katikati naclear na sitaki kukopa mtu [emoji119]
(Mnaotudai mpunguze simu jamani)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjep ananidai afutatu alinikopesha vocha,

Nimepanga kumlipa December nikivunja kikoba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie simlipiii huyoo
Ananidaii nyingiii mnooo, kwani hapa nataka nimkopee tenaa.
 
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.

Nikianza na Mimi mwenyewe.

1. Mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2. Mkopo NMB kila mwezi 120000
3. Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4. Mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5. MGODI VODACOM 70000
6. Dukani kwa Rashid 30000
7. Nipige Tafu 21000
8. Fundi Fulani 50000
9. Maji na umeme 15000
10. Mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11. Kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Mikopo yote hiyo bado umepanga....?? Japo chumba sebule tu...ubishiiii
 
Kuna jamaa nilimkopesha pesa aongezee akalipie matibabu ya mwanaye alikua na tatizo kwenye mishipa inayopeleka damu kwenye moyo, alinipigia simu sana akiniomba pesa akaniambia yuko tayari aweke rehani vyeti vyake na hati ya nyumba bado nilikua na kauzito kwa sababu mosi sijawahi mkopesha pesa hivyo sijui commitment yake ktk ulipaji pili pesa niliyonayo ni pesa ya biashara alivyoona simjibu siku moja asubuhi akaja na mtoto kambeba motto afya imezorota anapumua kwa shida huku jamaa akazungumza huku machozi yanamlenga akiomba nimsaidie basi niingiwa imani nilikua na sh.mil8.5 kwenye account yangu ya 1x bet nikazitoa zote nikampatia kwa ahadi kwamba azirudishe January hii, sasa January imefika jamaa nikimpigia ananijibu shit na kuniambia nikiona vipi niende mahakamani mahakama zipo kwa ajili ya watu, amenifanya nimekosa imani kabisa na wanadamu but kwa vile niliyemsaidia ni mtoto hana hatia basi nitamsamehe asiponilipa.
Mkuu samahani nipo nje ya mada, u mean hiyo pesa uliweka kwa ajili ya kubet au ni maokoto ya kubet? Au kwenye account za bet unaweza tumia kwa ajili ya savings zako? Mi ni mgeni kabisa kwenye mambo ya betting na sikuwahi dhani mtu anaweza weka pesa kiasi hicho
 
Mkuu samahani nipo nje ya mada, u mean hiyo pesa uliweka kwa ajili ya kubet au ni maokoto ya kubet? Au kwenye account za bet unaweza tumia kwa ajili ya savings zako? Mi ni mgeni kabisa kwenye mambo ya betting na sikuwahi dhani mtu anaweza weka pesa kiasi hicho
Kaka huyo ni afisa ubashiri mwandamizi .
Jqpo kuna kiumbe kinajaribu kurudisha juhudi zake chini

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nadaiwa 1M, Mungu nisaidie hili deni nipate namna ya kulipa nibaki na amani.....madeni hayafai aisee, unaweza kuta mambo hayaendi juu ya kunenewa vibaya na wadeni🥹
 
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Nimecheka sana.
 
Sio powa Cc ephen_

Binti wa zamani
Screenshot_20250917-222456_1.jpg
 
Back
Top Bottom