Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Kwelii Yani nlikua naziweka halopesa sababu ya kukosa mda kwenda church nikaziweka humo eeh December nikaenda likizo Yan nikajukuta natumia Ile ela Huku nasema nitairudisha nikamuomba Mungu anisamehe nitamurudishia ela yake
Bora uwape watoto yatima, kanisani zinaliwa tu.
 
Halafu tatizo la mkopo, mtu hajui atalipaje ila anakuhakikishia kwa maneno tu huku akijua fika hawezi kutimiza ahadi
Yaani mtu unamdai na aliahidi mwisho wa mwezi lakini siku ikifika anapiga kimya mpaka umsemeshe
Na ikivuka mwezi tangu alipoahidi huyo kakutapeli

Mkopaji lazima arudishe siku aliyokuahidi ikipita tu bila ya yeye hata kukupa ile heshima tu ya msaada uliomfanyia na kukuomba radhi kuwa aliahidi ilaimeshindikana sawa

Hivi deni mtu unaweza kusahau kuwa unadaiwa
Halafu cha ajabu aliekopesha ndio anakosa usingizi, lakini aliekopwa anakoroma kabisa kama mali ya baba yake 😄
Kaka masikini tuna felishana mno🤣, Eti mkopeshaji ana kosa usingizi.
👉Hata katika usimamizi wa biashara, kila mtu ana waza kuji shibisha yeye kwanza- hajali mwendelezo.

Madereva wa vyombo vya moto, nao ni changamoto mnoo.
👉Kabla haja pewa funguo ni ahadi nyingi, ila mpe- lazima upate presha🤣😃
 
Ahahahaha..nilikua tight halaf sasa katika mustakabal wa madeni, kabla hujapiga wewe alinipigia anayenidai sikupokea sasa ile imekata ikaingia namba mpya nikajua ndio yeye anani set..😂😂..will check on you mapema tu kesho 😅
Kesho uni cheki mida ya saa 7 hivi, si una jua raha ya jobless ni kulala 🤣😃
 
Kaka masikini tuna felishana mno🤣, Eti mkopeshaji ana kosa usingizi.
👉Hata katika usimamizi wa biashara, kila mtu ana waza kuji shibisha yeye kwanza- hajali mwendelezo.

Madereva wa vyombo vya moto, nao ni changamoto mnoo.
👉Kabla haja pewa funguo ni ahadi nyingi, ila mpe- lazima upate presha🤣😃
Ndio hivyo bro, tuna majanga masikini
 
Aema ndo nini nawewe...unakosoaga wenzako kwa kejeli wakati nawewe mchapiaji mzuri
Kumbe hujanielewa kabisa. Mimi nakosowa wanapokosea R na L na wale wanaojifundisha Kingereza tu.

Hizi typo za kawaida wala sina habari nazo kabisa.
 
Kuna jamaa nilimkopesha pesa aongezee akalipie matibabu ya mwanaye alikua na tatizo kwenye mishipa inayopeleka damu kwenye moyo, alinipigia simu sana akiniomba pesa akaniambia yuko tayari aweke rehani vyeti vyake na hati ya nyumba bado nilikua na kauzito kwa sababu mosi sijawahi mkopesha pesa hivyo sijui commitment yake ktk ulipaji pili pesa niliyonayo ni pesa ya biashara alivyoona simjibu siku moja asubuhi akaja na mtoto kambeba motto afya imezorota anapumua kwa shida huku jamaa akazungumza huku machozi yanamlenga akiomba nimsaidie basi niingiwa imani nilikua na sh.mil8.5 kwenye account yangu ya 1x bet nikazitoa zote nikampatia kwa ahadi kwamba azirudishe January hii, sasa January imefika jamaa nikimpigia ananijibu shit na kuniambia nikiona vipi niende mahakamani mahakama zipo kwa ajili ya watu, amenifanya nimekosa imani kabisa na wanadamu but kwa vile niliyemsaidia ni mtoto hana hatia basi nitamsamehe asiponilipa.
 
Ukiweza kumkopesha mtu binafsi anapokuja kukulilia shida, weka nia kuwa hiyo umetowa sadaka, mpe halafu muombee dua zimsaidie hitaji lake na mfahamishe wakati huohuo kuwa hiyo ni sadaka yako kwake.
 
Kuna jamaa nilimkopesha pesa aongezee akalipie matibabu ya mwanaye alikua na tatizo kwenye mishipa inayopeleka damu kwenye moyo, alinipigia simu sana akiniomba pesa akaniambia yuko tayari aweke rehani vyeti vyake na hati ya nyumba bado nilikua na kauzito kwa sababu mosi sijawahi mkopesha pesa hivyo sijui commitment yake ktk ulipaji pili pesa niliyonayo ni pesa ya biashara alivyoona simjibu siku moja asubuhi akaja na mtoto kambeba motto afya imezorota anapumua kwa shida huku jamaa akazungumza huku machozi yanamlenga akiomba nimsaidie basi niingiwa imani nilikua na sh.mil8.5 kwenye account yangu ya 1x bet nikazitoa zote nikampatia kwa ahadi kwamba azirudishe January hii, sasa January imefika jamaa nikimpigia ananijibu shit na kuniambia nikiona vipi niende mahakamani mahakama zipo kwa ajili ya watu, amenifanya nimekosa imani kabisa na wanadamu but kwa vile niliyemsaidia ni mtoto hana hatia basi nitamsamehe asiponilipa.

Hati ya nyumba alikupa?
 
Daaa Wala usijute umeokoa maisha ya mtoto,Mungu atakulipa sehemu
 
Madeni ni laana,Mungu hakukuumba na madeni acheni kujifariji
Kama hukopi, huwezi kuwa na maendeleo makubwa makubwa. Hata biashara, ukitaka ikue lazima uwe na mkopo, unless kama unatafuta pesa ya kula tu na kulipia biliza ving'amuzi, maji na umeme
 
Back
Top Bottom