maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,209
- 1,600
WanaJF,
Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka isomeke miaka ya mbeleni.
Sisi kama wanaJF tunaweza tukawaonyesha wengine viongozi ambao walisaidia nchi yetu na hata kuwatambua posthumously.
Nawasilisha