Kwa yanayoendelea Katika Nchi Yetu, Maendeleo ni Ndoto Isiyofikiwa

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,547
41,058
Kuna wakati Barack Obama alipokuwa anaelezea kwa nini nchi za Afrika ndiyo zililizo maskini sana Duniani licha ya kuwa na rasilimali nyingi asilia, alisema kuwa tatizo kubwa ni viongozi wa nchi za Afrika wakati wote kufikiria namna ya kuendelea kubakia madarakani badala ya kufikiria namna ya kuyaletea maendeleo mataifa yao.

Huu ni ukweli kwa 100%. Mathalani ukisikiliza hata hotuba za viongozi mbalimbali wa Tanzania, huwezi kusikia mambo ya msingi ya kuliletea Taifa maendeleo. Wakati wote utasikia porojo kama vile, "Rais wetu mpendwa mwaka 2025 hakuna mgombea mwingine zaidi ya..."

Viongozi wa Tanzania wanatumia muda wao mwingi kufikiria namna gani wataiba kura, namna gani wataiba hela ya umma ili watumie wakati wa kampeni kuwahonga wapiga kura.

Muda mwingi wanawaza na kufikiria namna wanavyoweza kumkomoa au kumdidimiza yeyote anayewakosoa au anayeonekana kuibua uovu wao au anayeonekana kuanza kupata umaarufu. Sasa hivi, kuna watu, usiku na mchana wanahangaika na kufanya vikao vingi kupanga namna watakavyowabambikia kesi za ugaidi wanaopinga deal lao la kupora bandari kupitia kampuni ya DP.

Nchi zinazoongozwa na watu wanaojitambua, huwezi kusikia hizi kesi za kuwabambikia watu, mara za uhaini , mara za uhujumu uchumi, mara za ugaidi. Viongozi wa nchi hizi wanatumia muda wao mwingi kufikiri, kutafakari na kupanga mipango ya kuyaendeleza mataifa yao.

Hivi karibuni huko Urusi maasi ya Wagner hayakuwa ya mchezo. Wagner walikuwa na silaha za kila aina, nzito na nyepesi. Waliwaua wanajeshi wa Serikali baada ya kuzuka uhasama kati yao na jeshi la Serikali ya Urusi. Wagner waliteka ghala la silaha, waliwaua baadhi ya wanajeshi wa serikali walioonekana kuleta upinzani dhidi yao. Wakati wakielekea Moscow, walidungua helikopta ya jeshi na kuwaua wote waliokuwemo ndani. Baadaye, baada ya usuluhishi wa Rais wa Belarus, wakasitisha mapigano. Lakini kipindi hicho chote, hakuna idara yoyote ya Serikali, si waziri, si mkuu wa majeshi wala Putin mwenyewe, aliyetoa tamko kuwa Urusi kulikuwa na uhaini au wapiganaji wa Wagner ni wahaini. Tukio zima walilitaja kuwa ni uasi au machafuko.

Huku kwetu ambako tuna viongozi na wakuu wa vyombo vya usalama ambao upeo wao ni zero, dhamira zao zimejaa uovu, wanaofikiria kutesa watu badala ya kufikiria namna ya kuifanya nchi ipate maendeleo kupitia rasilimali na watu wake, wanakesha kuungaunga vihabari ili kuwakomoa na kuwatesa watu wasio hata na mshale wala gobore, eti wanataka kuipindua Serikali!! Lazima uwe hayawani wa kiwango cha ajabu, kuamini habari za kufikirika kama hizo. Hii inatudhihirishia tuna viongozi wa kiwango cha chini kiasi gani.

Watawala oneni aibu kwa upuuzi huu unaoendelea. Kama watu wanaoongea tu tena bila hata rungu wala manati wanakuwa wahaini, siku wakitokea wahaini wenyewe, mtawaita nani?

Nchi maskini, viongozi maskini wa ubunifu na fikra, wananchi maskini wa vyote. Badala ya kutumia muda wetu kwa faida na umakini ili tutoke hapa tulipokwama, tunatengeneza mambo ya kipuuzi ya kutupotezea muda wa kuyatafuta maendeleo.

Rais Samia wakati akiwaapisha mabalozi aliwaagiza mabalozi, huko wanakoenda wakawaulize wenzetu wamefanyaje kiasi cha kutupita kwenye maendeleo maradufu wakati awali walikuwa kwenye kiwango sawa cha maendeleo kama tulivyokuwa sisi.

Namwomba Mh. Rais Samia, asisubiri jibu la muujiza kutoka kwa mabalozi aliowateua. Mimi ninalo jibu. Nampa jibu bila ya gharama yoyote wala posho wala mshahara wa Serikali.

"FAILURE OF THE ORGANIZATION IS FAIUKURE OF THE MANAGEMENT".

KWA HIYO, KUFELI KWA TANZANIA KUMESABABISHWA NA KUFELI KWA UONGOZI.

Singapore walikuwa kama sisi wakati tunapata uhuru. Lakini kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya UNDP, kiwango cha maendeleo walichofikia Singapore, sisi tukiendelea kama tunavyoenda, na wao wakasimama mahali walipofikia, ili kuwafikia, itatuchukua miaka 250.

Ukiona nchi yoyote inadidimia, ujue kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa utawala. Ukiona nchi inapaa kiuchumi, ujue mifumo ya kiutawala ipo vizuri sana. Ujue kuwa nchi hiyo watawala wao wanakesha wakisugua vichwa vyao, kufikiria namna ya kuyabadilisha mataifa na watu wao kuelekea kwenye maendeleo. Hawahangaiki na kukesha kufikiria habari za kubambikia watu kesi ili waendelee kuwepo madarakani. Kwao, aliyepo madarakani kama ataendelea kuwa kiongozi au ataondoka na kuja mwingine, hilo siyo muhimu kwao. Kilicho muhimu ni kuendelea kusimama kwenye agenda ya Taifa. Lakini hapa kwetu tuna viongozi wajinga, waliokosa uzalendo, ambao wapo tayari hata kuua ili wabakie kwenye nafasi za uongozi, hata kama kubakia kwao kwenye uongozi hakuna msaada wowote kwa wananchi au kunachelewesha maendeleo ya nchi au eneo analoongoza.

Kuweza kushuhudia maendeleo makubwa kwenye nchi yetu, ni mpaka siku tutakapoweza kutambua kuwa mtu yeyote kuwepo au kutokuwepo kwenye uongpzi siyo jambo la muhimu, kilicho muhimu ni kuhakikisha kila wakati kila ngazi tunakuwa na watu wenye upeo, walio wazalendo wa kweli na wenye uwezo wa kubuni, kusimamia na kuendeleza agenda za maendeleo ya Taifa.
 
Mijizi ndio viongozi wenyewe
Fikiria majizi yaliyotajwa kwenye report ya CAG, hakuna lolote. Yanaendelea kuiba zaidi. Lakini mtu kuukosoa mkataba wa hovyo wa bandari, limekuwa kosa la dharura kiasi ya kuwabambikia kesi za uhaini.

Kama shetani anaishi Duniani, basi Tanzania huenda ni miongoni mwa makazi yake pendwa.
 
Kuna wakati Barack Obama alipokuwa anaelezea kwa nini nchi za Afrika ndiyo zilulizo maskini sana Duniani licha ya kuwa na rasilimali nyingi asilia, alisema kuwa tatizo kubwa ni viongozi wa nchi za Afrika wakati wote kufikiria namna ya kuendelea kubakia madarakani badala ya kufikiria namna ya kuyaletea maendeleo mataifa yao.

Huu ni ukweli kwa 100%. Mathalani ukisikiliza hata hotuba za viongozi mbalimbali wa Tanzania, huwezi kusikia mambo ya msingi ya kuliletea Taifa maendeleo. Wakati wote utasikia porojo kama vile, "Rais wetu mpendwa mwaka 2025 hakuna mgombea mwingine zaidi ya..."

Viongozi wa Tanzania wanatumia muda wao mwingi kufikiria namna gani wataiba kura, namna gani wataiba hela ya umma ili watumie wakati wa kampeni kuwahonga wapiga kura.

Muda mwingi wanawaza na kufikiria namna wanavyoweza kumkomoa au kumdidimiza yeyote anayewakosoa au anayeonekana kuibua uovu wao au anayeonekana kuanza kupata umaarufu. Sasa hivu, kuna watu, usiku na mchana wanahangaika na kufanya vikao vingi kupanga namna watakavyowabambikia kesi za ugaidi wanaopinga deal lao la kupora bandari kupitia kampuni ya DP.

Nchi zinazoongozwa na watu wanaojitambua, huwezi kusikia hizi kesi za kuwabambikia watu, mara za uhaini , mara za uhujumu uchumi, mara za ugaidi. Viongozi wanatumia muda mwingi kufikiri, kutafakari na kupanga mipango ya kuyaendeleza mataifa yao.

Hivi karibuni huko Urusi maasi ya Wagner hayakuwa ya mchezo. Wagner walikuwa na silaha za kila aina, nzito na nyepesi. Waliwaua wanajeshi wa Serikali baada ya kuzuka uhasama kati yao na jeshi la Serikali ya Urusi. Wagner waliteka ghala la silaha, waliwaua baadhi ya wanajeshi wa serikali walioonekana kuleta upinzani dhidi yao. Wakati wakielekea Moscow, walidungua helikopta ya jeshi na kuwaua wote waliokuwemo ndani. Baadaye, baada ya usuluhishi wa Rais wa Belarus, wakasitisha mapigano. Lakini kipindi hicho chote, hakuna idara yoyote ya Serikali, si waziri, si mkuu wa majeshi wala Putin mwenyewe, aliyetoa tamko kuwa Urusi kulikuwa na uhaini au wapiganaji wa Wagner ni wahaini. Tukio zima walilitaja kuwa ni uasi au machafuko.

Huku kwetu ambako tuna viongozi na wakuu wa vyombo vya usalama ambao upeo wao ni zero, dhamira zao zimejaa uovu, wanaofikiria kutesa watu badala ya kufikiria namna ya kuifanya nchi ipate maendeleo kupitia rasilimali na watu wake, wanakesha kuungaunga vihabari ili kuwakomoa na kuwatesa watu wasio hata na mshale wala hobore, eti wanataka kuipindua Serikali!! Lazima uwe hayawani wa kiwango cha ajabu, kuamini habari za kufikirika kama hizo. Hii inatudhihirishia tuna viongozi wa kiwango cha chini kiasi gani.

Watawala oneni aibu kwa upuuzi huu unaoendelea. Kama watu wanaoongea tu tena bila hata rungu wanakuwa wahaini, siku wakitokea wahaini wenyewe, mtawaita nani?

Nchi maskini, viongozi maskini wa ubunifu na fikra, wananchi maskini wa vyote. Badala ya kutumia muda wetu kwa faida na umakini ili tutoke hapa tulipkwama, tunatengeneza mambo ya kipuuzi ya kutupotezea muda wa kuyatafuta maendeleo.

Rais Samia wakati akiwaapisha mabalozi aliwaagiza mabalozi, huko wanakoenda wakawaulize wamefanyaje kiasi cha kutupita kwenye maendeleo maradufu wakati awali wikuwa kiwango sawa cha maendeleo kama tulivyokuwa sisi.

Namwomba Mh. Rais Samia, asisubiri jibu la muujiza toka kwa mabalozi aliowateua. Mimi ninalo jibu. Nampa jibu bila ya gharama yoyote wala posho wala mshahara wa Serikali.

"FAILURE OF THE ORGANIZATION IS FAIUKURE OF THE MANAGEMENT".

KWA HIYO, KUFELI KWA TANZANIA KUMESABABISHWA NA KUFELI KWA UONGOZI.

Singapore walikuwa kama sisi wakati tunapata uhuru. Lakini kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya UNDP, kiwango cha maendeleo walichofikia Singapore, sisi tukiendelea kama tunavyoenda, na wao wakasimama mahali walipofikia, ili kuwafikia, itatuchukua miaka 250.

Ukiona nchi yoyote inadidimia, ujue kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa utawala. Ukiona nchi inapaa kiuchumi, ujue mifumo ya kiutawala ipo vizuri sana. Ujue kuwa nchi hiyo watawala wao wanakesha wakisugua vichwa vyao, kufikiria namna ya kuyabadilisha mataifa na watu wao kuelekea kwenye maendeleo. Hawahangaiki na kukesha kufikiria habari za kubambikia watu kesi ili waendelee kuwepo madarakani. Kwao, aliyepo madarakani kama ataendelea kuwa kiongozi au ataondoka na kuja mwingine, hilo siyo muhimu kwao. Kilicho muhimu ni kuendelea kusimama kwenye agenda ya Taifa. Lakini hapa kwetu tuna viongozi wajinga, waliokosa uzalendo, ambao wapo tayari hata kuua ili wabakie kwenye nafasi za uongozi, hata kama kubakia kwao kwenye uongozi hakuna msaada wowote kwa wananchi au kunachelewesha maendeleo ya nchi au eneo analoongoza.

Kuweza kushuhudia maendeleo makubwa kwenye nchi yetu, ni mpaka siku tutakapoweza kutambua kuwa mtu yeyote kuwepo au kutokuwepo kwenye uongpzi siyo jambo la muhimu, kilicho muhimu ni kuhakikisha kila wakati kila ngazi tunakuwa na watu wenye upeo, walio wazalendo wa kweli na wenye uwezo wa kubuni, kusimamia na kuendeleza agenda za maendeleo ya Taifa.
Naunga mkono hoja
P
 
Hii ya kusema singapore0, sijui china walikuwa sawa na sisi miaka ya 60 ni uongo na propaganda sana
 
Walahii bilahi Wewe ni Mbowe
Ubarikiwe
 
Unajua kama Rais anamtuma Balozi akajifunze uchawi' walioutumia wenzetu kupiga Hatua kubwa ya maendeleo ,hili ni jambo la kushtua kweli!
Kama haitoshi Rais wa Awamu ya nne aliwahi ukizwa swali Kwa Nini Tanzania Ni Maskini,livha ya umri wake mkubwa kamaTaifa na misaada mingi ilipewa tangu Uhuru ...akajibu hata yeye hajui!
Mungu wa Israel tukomboe!
 
Chama Cha matukio kina dira ipi?
20230816_121958.jpg
 
Hotuba za Viongozi wapi? Type ya Nape? Au Amosi Makala? nchi imejaaa Viongozi wapuuzi na Raia Mazezeta sasa hii combination ni hatari sana
 
Kiongozi ya Tanzania, mijitu inawaza Kila siku namna ya kula Hela, kutembea na ving'ora njia nzima , jion yakutane Mahali Kunywa Bia !!.

Ujinga ujinga tupu
 
Sidhani kama kuna maendeleo ya dhati nchi hii bila katiba madhubuti!
Nidhamu kwa viongozi hakuna!
Wanafanya OUVU hadharani!
Ufisadi hadharani!
Kuvunja katiba hadharani!
Wamefanya raslimalia za Taifa zao binafsi hadi watoto wao wanaingia mikataba OVYO kwa niaba ya Nchi!
Shime tuinuke wa Tz hawa watu sio binadamu wenzetu
 
Back
Top Bottom